Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Ukwel Ni huu commando katulia Sana Hana papara, na kimsingi anazungumza anachokielewa, kujibu maswal Kama ya kibatala unahitaji akili kubwa(high capacity knowledge)

Nlichopenda tu amavuka mitego mingi mno ya kisheria, kwake alifanya sehem yake, tutakuja kumsikia mbowe huko mbele akiwa anajitetea, ila kunamtu lazima mvua itamhusu tu,
 
Hebu tusaidie alichovuka hapo ni kipi?
 
So far mm nafikiri ushahidi wa msingi at least ungekua ni kutoka kwa kina Adamoo, Lijenje, Mohammed na Bwire kama wangetumika kama undercover na wakawa upande wa jamuhuri, ila hadi so far ukiangalia msingi wa kesi na mashahidi walioletwa unaona kabsa hapa hakuna jipya tena hata akiletwa huyo Lijenje Bado haoneshi kama kuwa na ushahidi wenye mashiko
shaidi muhimu sana kwenye hii kesi alikuwa forensic officer .keshatoa ushihidi mwepesi sana, tena wa kumudefend mbowe, Kwamba kwenye vielelezo vyote alivyofanyia uchunguzi havikuwa na elements za ugaidi.leo pia tumeshuhudia shaidi mwingine wa muhimu ambaye michongo yote ilipitia kwake naye kashindwa kudhibitisha tuhuma za ugaidi dhidi ya mbowe,kwa upande mwingine naona kama wanamtetea mbowe
 
Kesi ya ugaidi ilishafunguliwa kabla hata ya magaidi wenyewe kupatikana ama kufahamika! Duh!🤦🏾‍♂️ Ndo mambo ya mchongo haya!

Kibatala: Ni sahihi Kwamba Umeanza Kuwakusanya hawa baada ya Tarehe 20 July 2020

Shahidi: Ni sahihi

Kibatala: Na wewe ndiyo Ulikuwa Unawafahamu hawa wala Siyo Mbowe

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Unaweza Kutuisaidia Kuwa Kwanini Inspector Swila alifungua Faili la Kula Njama Tarehe 18 July 2020 Wakati Wakati Umekutana hawa Vijana Tarehe 20 Mpaka 24

Shahidi: Sijui sasa
Na hapa ndipo eneonla msingi sana kuwa kesi ni ya mchongo.

Unaandaa kesi kisha unatafuta watu na kuwatengenezea matukio...headless chickens!
 
Ukwel Ni huu commando katulia Sana Hana papara, na kimsingi anazungumza anachokielewa, kujibu maswal Kama ya kibatala unahitaji akili kubwa(high capacity knowledge)

Nlichopenda tu amavuka mitego mingi mno ya kisheria, kwake alifanya sehem yake, tutakuja kumsikia mbowe huko mbele akiwa anajitetea, ila kunamtu lazima mvua itamhusu tu,
Toka Siro na chief Hangaya walipotoa maoni yao wengi wenye akili tulishajua kwamba Mbowe anaenda kufungwa na kinachofanyika hapa ni kuonyesha tu kwamba utaratibu Wa kumfunga ulifuatwa Ila kiuhalisia hakuna kesi Ni chuki binafsi tu, So kufungwa kwa Mbowe halitakuwa Jambo la kushangaza.
 
kibatala: bwire ndiye alikua informer wako?

Urio: ndiyo

Kibatala:baada ya bwire kukutaarifu kuwa wanaenda kumdhuru sabaya wewe ulichukua hatua gani?

Urio: nilimwambia aende akamdhuru.

Kibatala: akishamdhuru aripoti tena kwako?

Urio: ndiyo

Kibatala: na wewe bado ni afisa wa jeshi?

Urio: ndiyo.

Sent from my Lenovo TB-7305X using JamiiForums mobile app
 
Ukwel Ni huu commando katulia Sana Hana papara, na kimsingi anazungumza anachokielewa, kujibu maswal Kama ya kibatala unahitaji akili kubwa(high capacity knowledge)

Nlichopenda tu amavuka mitego mingi mno ya kisheria, kwake alifanya sehem yake, tutakuja kumsikia mbowe huko mbele akiwa anajitetea, ila kunamtu lazima mvua itamhusu tu,
Aliyewaloga vijana wa ccm na wazee wao Mungu anamuona.
Hii nchi inateseka kwasababu tunatawaliwa na wale akili zao zimetiwa ganzi...pole kijana kwa uzuzu huu
 
shaidi muhimu sana kwenye hii kesi alikuwa forensic officer .keshatoa ushihidi mwepesi sana, tena wa kumudefend mbowe, Kwamba kwenye vielelezo vyote alivyofanyia uchunguzi havikuwa na elements za ugaidi.leo pia tumeshuhudia shaidi mwingine wa muhimu ambaye michongo yote ilipitia kwake naye kashindwa kudhibitisha tuhuma za ugaidi dhidi ya mbowe,kwa upande mwingine naona kama wanamtetea mbowe
Huyu Urio anajuta sana kuwachoma wenzake, naona Kati Yao mmoja alikua rafiki yake wa karibu sana, na mateso waliyopata Hao wenzake kwa sababu yake yanamtesa sana, ndo mana kila wakati anawatetea kuwa ni watu wema tena Hawana hatia, anajuta sana, na hii Kadri atakavohojiwa muda mrefu atajikuta anapanic na kuanza kunyosha maelezo sahihi... Rejea kila anapoulizwa kuhusu kina Adamoo au Bwire
 
Toka Siro na chief Hangaya walipotoa maoni yao wengi wenye akili tulishajua kwamba Mbowe anaenda kufungwa na kinachofanyika hapa ni kuonyesha tu kwamba utaratibu Wa kumfunga ulifuatwa Ila kiuhalisia hakuna kesi Ni chuki binafsi tu, So kufungwa kwa Mbowe halitakuwa Jambo la kushangaza.
Kufungwa hawezi maana wanajua dunia inafuatilia,huoni Hangai anavyohangaika namna ya kumaliza kesi?
 
Ndugu mahakama haifanyi kazi bila ushahidi..maneno ya Urio kuwa Mbowe alimwambia mpango wa ugaidi bila ushahidi maneno matupu tu hayasaidii hasa kama hakukuwa na mtu mwingine zaidi ya wao wawili tu..maana Mbowe anaweza kuja nae akasema hakuwahi kumuambia Urio huo mpango....hapa inaonesha wewe ndio layman unaoshangilia ushahidi usiokuwa na mashiko wa Urio
Hana tofauti na mjingamimi
 
Toka Siro na chief Hangaya walipotoa maoni yao wengi wenye akili tulishajua kwamba Mbowe anaenda kufungwa na kinachofanyika hapa ni kuonyesha tu kwamba utaratibu Wa kumfunga ulifuatwa Ila kiuhalisia hakuna kesi Ni chuki binafsi tu, So kufungwa kwa Mbowe halitakuwa Jambo la kushangaza.
Mtu hawezi kuhukumiwa mahakamani bila ushahidi wa kuthibitiaha jinai pasipo kuacha shaka.Mbowe hawezi kufungwa na kesi inaelekea mwisho hii.Hakutakuwa na kesi ya kujibu,serikali itakata rufaa ili kupunguza aibu na rufaa haitaamuliwa haraka.
 
Dah sheria tamu sana aisee,
Cheki Urio hapa chini
''
Kibatala: Unaweza Kutuisaidia Kuwa Kwanini Inspector Swila alifungua Faili la Kula Njama Tarehe 18 July 2020 Wakati Wakati Umekutana hawa Vijana Tarehe 20 Mpaka 24

Shahidi: Sijui sasa

Kibatala: Je wewe Ulikula Njama na Mbowe.

Shahidi: Sijala Njama na Mbowe''
 
Mtu hawezi kuhukumiwa mahakamani bila ushahidi wa kuthibitiaha jinai pasipo kuacha shaka.Mbowe hawezi kufungwa na kesi inaelekea mwisho hii.Hakutakuwa na kesi ya kujibu,serikali itakata rufaa ili kupunguza aibu na rufaa haitaamuliwa haraka.
Hata mm sioni kesi yoyote ya kujibu hapa, mana maelezo ya mashitaka makuu hayana evidence kamili zaidi ya kusema alinambia hivi, hata ushahidi wa Kingai watoa maelezo wanakana kutoa maelezo hayo wansema walishurutishwa sasa hapo kina Mbowe wajibu nini..... Hii kesi ya kuondolewa mahakamani haraka
 
Back
Top Bottom