wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
😄😄😄😄 aiseeeHivi kusema "muda umeisha" ndio kupanga ugaidi kweli nchi inahitaji kufumua mitaali na kuleta mipya Elimu ya watanzania sio Elimu ni upuuzi na kujaza kundi kubwa la watu ujinga tu.
Wewe jamaa utakua CCM si bule,Simple questions, na jamaa hata ajapanic
Watu wa Gamboshi hao!Aliyewaloga vijana wa ccm na wazee wao Mungu anamuona.
Hii nchi inateseka kwasababu tunatawaliwa na wale akili zao zimetiwa ganzi...pole kijana kwa uzuzu huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani komandoo na mwanajeshi wa uzoefu wake, anatumika kama undercover lakini anashindwa rekodi vitu vidogo kama tarehe, muda, maeneo wakati akikutana na Mbowe!!
Huku akijua siku moja atapanda kwenye kizimba kutoa ushahidi usio na shaka yoyote???
Weird...
Eti 4 ni kuanzia 28? 1999 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]elimu ya jamaa ndiyo kikwazo - Three ya 25 ni parefu hapo !! as results tunapata Afisa wa JWTZ asiye na uelewa wa mambo.
Hawezi kukimbia kashaingia kwa 18 za Kibatala - bado kidogo tu ataanza kumwita Kibatara Mweshimiwa..... [emoji16][emoji16][emoji16]
KesKesòUrio aliwatumia makomandoo Kama chambo ya kumkamata Mbowe.
Kesi yenyewe mashahidî wenyewe ìnaonyesha sii wa nchi hii ila ni WA kutoka jamhuri ya gangsters.Urio aliwatumia makomandoo Kama chambo ya kumkamata Mbowe.
Wewe akili zako ni kama za kondoo huna logical thinking bali unatumia mihemko ya ushabiki.KWA HIYO MBOWE ALIJITENGENEZEA KESI ILI AWE SHUJAA? AFUNGWE KAMA MANDELA AKITOKA AWE RAIS?
Ona ZEZETA hili aka ZUZUaisee balaa hili!!
kumbe ndio maana wafuasi wa Mbowe walikuwa wakishinikiza mahakama imfutie Kesi!! sasa uovu wote huu alikuwa anauratibu huyu mbowe tungeujuaje?!!
afadhali sasa tunajua matendo yake ya kimafia aliyo kuwa anayafanya dhidi ya serikli.
huyu mhalifu alikuwa anawatumia watu mbalimbali amabo sio waaminifu na waadilifu kukidhi mhitaji yake.........ndio maana alikuwa anatumia neno "atakinukisha" maana yake atachafua amani ya nchi.
Asubiri siku tuna leta mashahidi wetu wajue ana tokea Kihonda au ana tokea Keko.Wewe kama hufuatilii haya mambo utatusumbua tu .
"Sasa Mimi nakuambia hawajakata miti bali wameipruni tu",kwa sauti ya kibatalasasa mwambie muheshimiwa jaji kwamba baada ya TANESCO kukata miti wamesababisha tahatuki kwa jamii. Dah sikujua kama sheria tamu kiasi hiki😃😃😃 ai wishi ai kuldu stadi it!!!
Kupitia kesi hii wananchi wanayo mengi ya kujifunza sana na mojawapo kuu ni huu ujinga wa kuwabambikia kesi watu pasipo kutafakari kablaYaani komandoo na mwanajeshi wa uzoefu wake, anatumika kama undercover lakini anashindwa rekodi vitu vidogo kama tarehe, muda, maeneo wakati akikutana na Mbowe!!
Huku akijua siku moja atapanda kwenye kizimba kutoa ushahidi usio na shaka yoyote???
Weird...
Mungu anazidi kuwaombua watesi, Mpaka kufika mwisho watakuwa wameumbuka vya kutoshaKesi ya ugaidi ilishafunguliwa kabla hata ya magaidi wenyewe kupatikana ama kufahamika! Duh!🤦🏾♂️ Ndo mambo ya mchongo haya!
Kibatala: Ni sahihi Kwamba Umeanza Kuwakusanya hawa baada ya Tarehe 20 July 2020
Shahidi: Ni sahihi
Kibatala: Na wewe ndiyo Ulikuwa Unawafahamu hawa wala Siyo Mbowe
Shahidi: Ndiyo
Kibatala: Unaweza Kutuisaidia Kuwa Kwanini Inspector Swila alifungua Faili la Kula Njama Tarehe 18 July 2020 Wakati Wakati Umekutana hawa Vijana Tarehe 20 Mpaka 24
Shahidi: Sijui sasa
Awali Lt Urio alikuwa mtuhumiwa lakini baada ya kugundua walifanya makosa kumtesa Lt Urio wamemnunua awe Shahidi pasipo kutafakari vizuri matokeo yake ndiyo hayo wanazidi kuumbuka zaidiUkwel Ni huu commando katulia Sana Hana papara, na kimsingi anazungumza anachokielewa, kujibu maswal Kama ya kibatala unahitaji akili kubwa(high capacity knowledge)
Nlichopenda tu amavuka mitego mingi mno ya kisheria, kwake alifanya sehem yake, tutakuja kumsikia mbowe huko mbele akiwa anajitetea, ila kunamtu lazima mvua itamhusu tu,