Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Hivi kusema "muda umeisha" ndio kupanga ugaidi kweli nchi inahitaji kufumua mitaali na kuleta mipya Elimu ya watanzania sio Elimu ni upuuzi na kujaza kundi kubwa la watu ujinga tu.
😄😄😄😄 aiseee
 
Simple questions, na jamaa hata ajapanic
Wewe jamaa utakua CCM si bule,
Maana CCM ndio wana upeo mdogo Sana.
Unajua lengo la kuuliza maswali?
Sasa Mimi nakuambia lengo la kuuliza maswali ni kutafuta fact,lengo sio maswali magumu ili mtu ashindwe kujibu.
Je lengo ni kumfanya mtu apanic hapana,lengo kumfanya mtu asimame kwenye ukweli,
Mtu akibadiliikabadilika maana yake ushahidi wake una mashaka.
Sasa Mimi nakuambia jamaa kajichanganya mwanzo mwisho.
Hata hivyo jamaa Hana makosa kwa sababu ni mateka huyo.
 
Yaani komandoo na mwanajeshi wa uzoefu wake, anatumika kama undercover lakini anashindwa rekodi vitu vidogo kama tarehe, muda, maeneo wakati akikutana na Mbowe!!

Huku akijua siku moja atapanda kwenye kizimba kutoa ushahidi usio na shaka yoyote???

Weird...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
elimu ya jamaa ndiyo kikwazo - Three ya 25 ni parefu hapo !! as results tunapata Afisa wa JWTZ asiye na uelewa wa mambo.

Hawezi kukimbia kashaingia kwa 18 za Kibatala - bado kidogo tu ataanza kumwita Kibatara Mweshimiwa..... [emoji16][emoji16][emoji16]
Eti 4 ni kuanzia 28? 1999 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natamani km URIO abadilishwe tyuuh badala ya kutoa ushahidi yeye analivua nguo JWTZ. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan anavyojibu hayo maswali mie ndo nachoka kabiaaaa.lol
 
aisee balaa hili!!
kumbe ndio maana wafuasi wa Mbowe walikuwa wakishinikiza mahakama imfutie Kesi!! sasa uovu wote huu alikuwa anauratibu huyu mbowe tungeujuaje?!!
afadhali sasa tunajua matendo yake ya kimafia aliyo kuwa anayafanya dhidi ya serikli.
huyu mhalifu alikuwa anawatumia watu mbalimbali amabo sio waaminifu na waadilifu kukidhi mhitaji yake.........ndio maana alikuwa anatumia neno "atakinukisha" maana yake atachafua amani ya nchi.
Ona ZEZETA hili aka ZUZU
 
Yaani komandoo na mwanajeshi wa uzoefu wake, anatumika kama undercover lakini anashindwa rekodi vitu vidogo kama tarehe, muda, maeneo wakati akikutana na Mbowe!!

Huku akijua siku moja atapanda kwenye kizimba kutoa ushahidi usio na shaka yoyote???

Weird...
Kupitia kesi hii wananchi wanayo mengi ya kujifunza sana na mojawapo kuu ni huu ujinga wa kuwabambikia kesi watu pasipo kutafakari kabla
 
Kesi ya ugaidi ilishafunguliwa kabla hata ya magaidi wenyewe kupatikana ama kufahamika! Duh!🤦🏾‍♂️ Ndo mambo ya mchongo haya!

Kibatala: Ni sahihi Kwamba Umeanza Kuwakusanya hawa baada ya Tarehe 20 July 2020

Shahidi: Ni sahihi

Kibatala: Na wewe ndiyo Ulikuwa Unawafahamu hawa wala Siyo Mbowe

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Unaweza Kutuisaidia Kuwa Kwanini Inspector Swila alifungua Faili la Kula Njama Tarehe 18 July 2020 Wakati Wakati Umekutana hawa Vijana Tarehe 20 Mpaka 24

Shahidi: Sijui sasa
Mungu anazidi kuwaombua watesi, Mpaka kufika mwisho watakuwa wameumbuka vya kutosha
 
Ninavyoona Urio ni mhanga... Anatia huruma sana. Hasa pale Aliposema Kibatara kuwa hatokei kwake wala Hotelini. Nahisi anahitaji kuonewa huruma pia. Kwa alivyokuwa na ushikaji na hao washtakiwa wengine, anaonekana amelazimishwa. Namuombea kwa Mungu, ameyafanya haya kutunza uhai wake maskini.
 
Mbowe sio kiazi kiasi hicho, yaani akurupuke aende kuongea na luteni wa jeshi kuhusu kuleta taharuki?
Hivi kwa cheo Mbowe alichonacho, namna anaijua serikali kuliko hata mimi ambae nisingekubali, inakuwaje aongee na luteni wa jeshi jambo classified kama hilo eti kisa ni homeboy?

Na Mbowe alipoletewa hao vijana hakutafakari kama kati yao kuna mmoja au wawili ambao ni wapelelezi na wataripoti kila analifanya jambo ambalo ni hatari kwake.

Kwa muda Mbowe amekaa kwenye siasa na anajua michezo yote michafu, anajua mwansheria wao Lissu alichofanywa how comes awe kiazi kiasi hiki?

Haiingii akilini kabisa, mtaani tu kwenye kahawa watu hawaropoki mambo kuhusiana na suala zima la usalama wa taifa, sote tujiulize Mbowe ni kiazi kiasi hicho?
Kuna watu kwenye mambo fulani unakuta hata mkewe hamuamini, nirudie tena Mbowe ni mjinga kiasi gani ajimwagie petroli na kujiwashia kibiriti?


Hawa vijana wameuzwa tu ili kumkamata Mbowe, masuala haya ya kijasusi kuuzana ni swala la kawaida, kugeukana ni suala la kawaida, yawezekana kwa asilimia kubwa Moses Lijenje yule aliopotea ndio alikuwa mchora ramani mkubwa kuwauza wenzie au alikuwa na taarifa nyeti hivyo kuwa tishio either akawa executed, how comes apotee ghafla? Yeye alijuaje polisi wanakuja asiwatonye wenzie? Maswali ni mengi sana..

Hawa kina Adamoo mpaka sasa wapo surprised na hawaamini kinachowatokea ndio ile unasikia unapigwa mshangao at the same time hujui nini kinaendelea.

Kuna wale askari walimuua Imrani Kombe former mkuu wa idara ya usalama kwa kumpiga risasi, simple logic , walifuata maagizo lakini mwisho wa siku walikutwa na hatia, which means nao waliuzwa au walitolewa sadaka kama mbuzi ya kafara ili mambo mengine yaendelee.

Huyu Urio ukimsikiliza anaonekana anajua ukweli wa mambo yote.
 
Ukwel Ni huu commando katulia Sana Hana papara, na kimsingi anazungumza anachokielewa, kujibu maswal Kama ya kibatala unahitaji akili kubwa(high capacity knowledge)

Nlichopenda tu amavuka mitego mingi mno ya kisheria, kwake alifanya sehem yake, tutakuja kumsikia mbowe huko mbele akiwa anajitetea, ila kunamtu lazima mvua itamhusu tu,
Awali Lt Urio alikuwa mtuhumiwa lakini baada ya kugundua walifanya makosa kumtesa Lt Urio wamemnunua awe Shahidi pasipo kutafakari vizuri matokeo yake ndiyo hayo wanazidi kuumbuka zaidi
 
Back
Top Bottom