Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

aaahh Kibatala umenikumbusha mambo ya Will Gamba (Number moja) na Boss wake Mwinyisudi na kiko lake mdomoni - ofisi zao pale karibu na Sukari Hse !!

JWTZ hawana mtu hapa, amekaririshwa ila bichwa zito kushika.
MTU ambaye hamjui katechista wake,paroko,na hata Aloysius's headmaster wake. MTU ambaye kamaliza form 4 na hajui div 4 inaanzia point gani naendelea kutilia MashAka hata nafasi yake Kama mwanausalama!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wasichokijuwa wengi, Mbowe ana kaka yake ni marehemu sasa, alikuwa ofisa wa cheo cha juu jeshini, msiba wake hata shetani mwendakuzimu alihudhuria.

Sasa Mbowe ndio wa kuangaika na connection ya JWTZ asiyowajuwa? Si kweli.
 
Kwahiyo inawezekana kweli Jeshi likaridhia askar wake tena commando awekwe kizuizini na polisi mpaka muda huu ? Pia najiuliza kipindi kile inasemekana ameteswa na Kina Kingai JWTZ walichukua hatua gan kwa commandoo wap tena akiwa Bado anahudumu kazin kufanyiwa kitendo kile?
 
Daah mm pia ukiniuliza nitakuambia sijui vyote hivyo naona ni kawaida tu mkuu Wala usishangae.
 
Na ukumbuke awali Lt Urio alikamatwa kama mtuhumiwa akateswa sana na hao hao akina kingai cha kushangaza leo kawa shahidi baada ya kununuliwa na akina kingai
Haya yule shahidi Kaaya mpambe wa zamani wa Sabaya hivihvi ilikuwa
 
Urio anapitia mateso mengi sana, wakati wenzetu wanapeleka vifaa kwenye nua na nyota hapa kwetu Tanzania hela zinapelekwa kwa Siro ili asuke kesi za Kigaidi. Huku asikari wake nao wapo bize sana kuua wanunuaji madini.
 
Yaani Mbowe amemtafuta Homeboy wake; wanajenga mahusiano naye kwa mda; anakuwa anamtumia salam za kheri kwa matukio makubwa ya mwaka; anamuita wakutane; Halafu URIO aende na voice recorder- AKILI ZA AJABU SANA

Ok- Urio ameenda, hajui alichoitiwa; hatimaye Mbowe amamwambia lengo lake;Halafu Urio amwambie subiri kidogo nifuate voice recorder nije nirecord ulicho na utakachosema- AKILI ZA AJABU SANA

Mkuu tunamjua Mbowe na akili zake za kihalifu za kuzaliwa alijaribu kuchukua tahadhali zote isipokuwa uhalifu una mwisho- na mwisho wake ni sasa.-Mbowe kaumiza watu wengi sana na malipo ni hapa hapa duniani- ATALIPA.
 
Nilivyoelewa ulikuwa mchongo Mbowe ajae

Napenda kusema heri tusikilize tu itakuwaje maana urio sio mwehu
Askari hawezi kuwa raia ila raia anaweza kuwa askari
 
Yaani Jamhuri ina komandoo boya kiasi hiki tena ni luteni, ni bora kuwa na migambo kuliko kuwa na komandoo aina ya Urio
 
Kutohudhuria kanisan Wala jumuia kwan ni kitu cha ajabu?
Hapo ukitulia sana utajua hoja ya kwanini hilo swali...
Huyo Urio yupo mateka.. hatokei nyumbani.. anapitia kipindi kigumu sana maishani..
Ndio maana alijisahau akasema natokea hotelini, akaambiwa taja jina la hoteli uliyofikia.. Jaji akaingilia kati asitaje
 
Acha hizo mbona bi Tozo alimtumia Salam za pole alipofiwa na kaka
 
Hivi huyu MOSES LIJENJE anaye Tajwa Na Kila Mtu, YUKO WAPI?

Kama Alikuwa Kwenye Mipango ya Ugaidi na Hajulikani aliko Tunaendelea kuwa na Amani? Na Kesi Inaendelea wakati mtuhumiwa Mmoja hayupo, Akilipua Mahakama?

Bado sijaelewa kuhusu MOSES LIJENJE mwenye Uelewa Anisaidie.
 
Halafu imekuaje Ghafla Huyu URIO amemchukia Sana Mboweee? Kiasi kwamba anamuona kama nini sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…