MTU ambaye hamjui katechista wake,paroko,na hata Aloysius's headmaster wake. MTU ambaye kamaliza form 4 na hajui div 4 inaanzia point gani naendelea kutilia MashAka hata nafasi yake Kama mwanausalama!aaahh Kibatala umenikumbusha mambo ya Will Gamba (Number moja) na Boss wake Mwinyisudi na kiko lake mdomoni - ofisi zao pale karibu na Sukari Hse !!
JWTZ hawana mtu hapa, amekaririshwa ila bichwa zito kushika.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app