Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

Huyu shahidi anadai Mbowe ndio anajua idadi ya vituo vya mafuta ambavyo anataka kulipua Halafu yeye haoneshi kwenye mawasiliano yao kama hayo walikuwa wanayapanga. Sasa tumuamini Nani. Yeye anadai Mbowe alitaka kufanya ugaidi lakini tangu wakutane hakuna sehemu wamejadilaina ugaidi na hata wale makomndoo tangu wanaletwa kwa Mbowe hawakuwa wanajua kwamba wanafanya ugaidi. Swali ni huu ugaidi ulianzia wapi?
Walivyokutana mikocheni ndio aliambwambia amtafutie vijana wakufanya nchi kuwa katika taharuki, kuchoma vituo vya mafuta na masoko pamoja na kukata miti pembezoni mwa barabara, sasa Wale vijana waliofukuzwa jeshini ndio wanaujasiri wa kufanya hayo yoote. Na pia ni watu wenye mafunzo na nilichokiona hapa Urio angewaambia moja kwa moja ni kazi gani wangesita au angevujisha siri.
 
Urio ndiyo kabeba kesi yenyewe - na ndiyo maana alikumbushwa kwamba baada ya ushahidi wake anaweza kuwa Shujaa ama mtu wa hovyo kabisa kutokea hapa duniani.

Wacha tuone leo maana jana hakutoka hata na point moja..alishidwa kabisa kumshawishi achilia mbali Jaji lakini mtu yoyote anayefuatilia hii kesi.
Form four felia kweli,anaweza kupangilia mambo.Hiyo nafasi yake ya mchongo
 
informer si ndio anaweka msingi tu mzee, hadhitibishi, wengine ndio wanakuja kuweka matofali na zege la renta, wengine wanamalizia na kuezeka, wengine kupita lipu, n.k. mbona unakuwa kama huelewi ndugu yangu.

Ni kweli usemavyo. Lakini ilitakiwa ajenge msingi mzuri. Hata angekuwa na voice note au hata recorded call ilikujazilizia cement kwenye msingi wake. Huyu alikuwa shahidi reliable, inakuaje tena hapigi kwenye mshono, ili wengine wake kujazilizia. Kama Moses lijenje hataletwa basi sidhani Kama Kuna ushahidi wa maana Tena. Kwa Sasa anayeweza kumaliza kesi ni Moses lijenje.
 
mzee, informer pia huwa anakamatwa na huwa anapigwa hadi vibao ili muendelee kuamini kwamba mpo pamoja naye, na kule lock up muendelee kutapika uchafu mbele yake wa namna gani mnataka kujitetea, na mwisho yeye anachomolewa anakuwa shahidi. ndivyo ilivyo. mwulizeni mwenyekiti wenu kwanini soon after uchaguzi alikimbia nchi, pamoja na kwamba hapakuwa na threat yeyote. na kwanini tundu lisu alikuwa na amani na kutukana kote kule wakati wa kampeni hakufanya kosa, lakini alipoona hao vijana wamekamatwa tu mbio ubalozi wa ujerumani, kwanini alikuwa haishi ubalozi wa ujerumani wakati wa kampeni?...cdm mnafikiri kwa kutumia nini aisee,ni nani aliyewaloga?
wewe uelewi kitu , Tulia
 
ninaanza kuona maruweruwe kwenye kesi hii, huyu urion hakuwaambia akina bwire kwamba wanaenda kwa mbowe kupanga uhalifu isipokuwa kwenye ajira halali n walipofika moshi walikamatwa kabla hata ya kuonana na mtuhumiwa mbowe, gaidi. kwa hiyo wakati wanakamatwa hawakuwa wanajua lolote kuhusu ugaidi!!!!!. mpaka hapo wako huru. Urio amerudia mara nyingi sIO MAGAIDI, lakini pia hana uthibitisho wa aina yoyote mpaka sasa wa kwamba mbowe alimweleza njama za kupanga ugaidi. Mbowe is free!!!. maruweruwe yanaanzia hapo nahisi hii kesi ni movie tu fulani inatengenezwa kwa makusudi fulani nahisi hata watuhumiwa wanalijua hilo maana haiwezekani shahidi muhimu tena luteni,komandoo wa jeshi aje mahakamani na ushahidi sio tu butu bali ni utetezi!!! SOMETHING GOES ON SOME WHERE. au jamhuri imeamua kuharibu ushahidi ili kesi iishe tu
 
Ni kweli usemavyo. Lakini ilitakiwa ajenge msingi mzuri. Hata angekuwa na voice note au hata recorded call ilikujazilizia cement kwenye msingi wake. Huyu alikuwa shahidi reliable, inakuaje tena hapigi kwenye mshono, ili wengine wake kujazilizia. Kama Moses lijenje hataletwa basi sidhani Kama Kuna ushahidi wa maana Tena. Kwa Sasa anayeweza kumaliza kesi ni Moses lijenje.
kikubwa alichofanikiwa kuthibitisha hapo ni kwamba, at least kulikuwa na communication kati yake na mbowe jambo ambalo linaweza kuback up oral testimony yake, ukizingatia kwamba ukishaona mahakama imemuamini kwenye kitu kimojawapo hapo (ambacho kwenye communication na ukiunganisha na alichokisema ling'wenya), basi credibility imeshajengwa. na ili mahakama imkatae inatakiwa kutoa sababu ambayo hapo sijaiona kama itakuwepo wakati kwenye ushahidi wa yeye kuwasiliana na hao ameshathibitisha kwa print out hizo za simu. every witness is entitled to credence, na ukiamua kutomwamini lazima utoe sababu, la sivyo anakuwa credible na ushahidi wake which includes oral testimony unatakiwa uaminiwe na ufanyiwe kazi. kwa mwanasheria hapo ameshanielewa.
 
Shahidi wa Jamhuri Luteni Urio ana simu ambayo haiwaki tangu Jana na amedai haidisplay. Ilikuwaje wakashindwa kutengeneza . Maana inaonekana upande wa utetezi wanahitaji zaidi simu hiyo, inaonekana Kuna ushahidi mkubwa unafichwa kwenye simu hiyo.
Si wanaweza kuupaya kwenye line anayotumia wakienda kwenye mtandao anaotumia....najaribu kufikiria hivyo
 
Shahidi wa Jamhuri Luteni Urio ana simu ambayo haiwaki tangu Jana na amedai haidisplay. Ilikuwaje wakashindwa kutengeneza . Maana inaonekana upande wa utetezi wanahitaji zaidi simu hiyo, inaonekana Kuna ushahidi mkubwa unafichwa kwenye simu hiyo.
wanaficha aibu
 
Kibatala: umemaliza form 4 lini?

Urio: 1999

Kibatala: mwalimu wako mkuu alikua nani?

Urio: sikumbuki.

Hivi kweli Kuna mtu anaweza msahau mwalimu mkuu kweli!!!?

Sent from my Lenovo TB-7305X using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan full vichekesho.
 
kikubwa alichofanikiwa kuthibitisha hapo ni kwamba, at least kulikuwa na communication kati yake na mbowe jambo ambalo linaweza kuback up oral testimony yake, ukizingatia kwamba ukishaona mahakama imemuamini kwenye kitu kimojawapo hapo (ambacho kwenye communication na ukiunganisha na alichokisema ling'wenya), basi credibility imeshajengwa. na ili mahakama imkatae inatakiwa kutoa sababu ambayo hapo sijaiona kama itakuwepo wakati kwenye ushahidi wa yeye kuwasiliana na hao ameshathibitisha kwa print out hizo za simu. every witness is entitled to credence, na ukiamua kutomwamini lazima utoe sababu, la sivyo anakuwa credible na ushahidi wake which includes oral testimony unatakiwa uaminiwe na ufanyiwe kazi. kwa mwanasheria hapo ameshanielewa.
Lkn bado mawasiliano yaliyopo ni kwa ajili ya kutafutiwa vijana kwa ajiri ya close protection na Hakuna mahali Kuna mawasiliano ya kutafuta watu wakuleta uvunjifu wa Amani na ugaidi. Hakuna sheria inazuia mtu kuajiri mlinzi au walinzi binafsi
 
wle watatu walikuwa kazini- wanaweza kutoka wakitaka wakati watakapotoa ushahidi wao na kudodoswa na mawakili wa serikali wakati wa utetezi ILA Mbowe mfungwa mtarajiwa kutoka mahabusu
Mwanzo nilijaribu kujilazimisha kuona kuwa una uelewa kumbe laa ni bure kabisa

Ila tunashukuru kuwa sasa aibu imekuandama na umeanza kuchomoa kidogokidogo.

Mr michongo wenu Urio amethibitisha leo hana na haitatokea kupatikana kwa sauti wala vielezo vyovyote zaidi vya kuthibisha porojo zake. Hapa Mbowe "kwa haki ya kisheria" anafungwaje? kinyume chake kesi hii ikiisha mr michongo Urio lazima akutane na rungu hukoJeshini.

Na kama ulivyokubali kuwa makomandoo hawana hatia hivyo hivyo ni njozi za mchana Mbowe kukutwa na hatia maana hao ndio wanaothibitisha uhusika wa Mbowe katika shitaka lenyewe.
 
mzee, informer pia huwa anakamatwa na huwa anapigwa hadi vibao ili muendelee kuamini kwamba mpo pamoja naye, na kule lock up muendelee kutapika uchafu mbele yake wa namna gani mnataka kujitetea..

Acha maneno ya vujiweni.

1. Unauliza CHADEMA huwa wanawaza kwa kutumia Nini?. Mimi nadhani CCM ndio wanawaza kwa kutumia unachokifikiria. Maana
Mwenyekiti wenu anaruhusuu watu wale kwa urefu wa kamba zai. Ndio maana Leo polisi wanaua raia kwa ajili ya kupora pesa, Kama kule mtwara. Pia aliyerogwa Ni CCM maana yeye anaamini maendeleo yatakuja kwa kukopa Sana na kutoza mitozo Sana. Mpaka spika akaingilia kati kutetea wananchi na CCM ikamnanga mpaka akajiuzuru.

2. Mbowe hakukimbia kwa ajili.ya hiyo kesi yenu ya mchongo, Mbowe alifanyiwa dhihaka usiku wa kuamkia uchaguzi, Sabaya alivamia hoteli yake na polisi ili wamfanyie vurugu, ndio maana alikimbia. Pia OCD wakati wa kampeni alikuwa amesha declare mbele ya mbowe kwamba Mbowe hatashinda hata iweje. Sasa Mbowe angekimbilia wapi Kama polisi wamempa taarifa kwamba watahakikisha ashindi. Hivi polisi wakikugeuka Nani atakulinda?.

3. Lissu amekimbia kwa sababu mbili. Kwanza alitakiwa kufanyiwa operesheni nyingine na pili Lissu alishapigwa risasi akapona hivyo anaelewa hali ilivyo. Hivyo alikimbia kwa usalama wako. Lissu alishambuliwa na mihimili yote mitatu, kupitia spika, Jaji mkuu na IGP mwenyewe.

Spika kamfukuza bungeni, Jaji Mkuu kakataa uchunguzi wa FBI na IGP kakataa kufanya uchunguzi wa nini kilitokea na nani alihusika mpaka leo. Hivi ingekuwa wewe ungekimbilia wapi?. Kwa polisi?, kwa spika? kwa Jaji mkuu? Of course not bali angekimbilia kwa independent organ. Ndio maana Lissu akakimbilia ubalozini maana aliona ndio sehemu atakayokuwa safe zaidi.
 
Back
Top Bottom