nyembela
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 413
- 525
Hapa wakili ndiye aliyemtega shahidi kama alishaongea mara moja na kwamaneno ya asingerudia maana ake hakukua na mijadala tena ya mipango baina yake na mharifu, hivyo dhana ya vikao vya mipango anaikanusha shaidi havikuwepo, ndomana vikao vyote walivyokaa anakiri kuongoza yeye na sio mbowe nakatika hili ndo mana wakili akamhoji kuwa mipango ya uharifu aliongoza yeye? Hoja ameikamirisha shaidi baada yakukiri alipewa kazi ya kutafuta walinzi nasivinginevyo''tusipotoshe''Mjue shahidi ni komandoo na wala si mtu mjinga mjinga
angalia Comedian Mh. Matata anavyojiingiza mdomoni mwa komandoo Urio
Matata: kwenye huo Umuhimu hukuona Kuna Umuhimu Wa Vinasa Sauti na Meseji ambao Vitasema Exactly Kuwa anataka Kulipua
Masoko
Shahidi: Mheshimiwa Jaji Mbowe alikuwa alishaniambia Kwa Meneno, asingerudia
Matata: Narudia Swali langu, kwenye huo Umuhimu hukuona Kuna Umuhimu Wa Vinasa Sauti na Meseji ambao Vita, sema Exactly Kuwa anataka Kulipua Masoko
Shahidi: Sikuwa na Vifaa Vya kunasa Sauti