Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urio kasema Bwire, Adamoo na Doyi ni watu wazuri sana! Na aliwaambia wataenda kufanya kazi ya VIP protection. Na hakuwahi kuwaambia kuhusu ugaidi wala matukio ya kuleta taharuki.LT Urio ni ndugu yake mbowe kiukoo na mbowe alimuomba amsaidie walinzi makomandoo wasitaafu kwa nia njema pasipo shaka akiwa na nia ya kujilinda dhidi ya hujuma tokea kwa Dc Sabaya ambaye baada ya kubaini hilo ndipo akatengeneza kesi ya mchongo ili kumdhoofisha mbowe lakini hao siyo magaidi na hakukuwa na ugaidi wowote ule
Mkuu huyu nadhani asingetekwa na kupangiwa ya kusema nadhani angenyoosha ukweli wote wa kina Kingai, Sabaya na kundi lao la wasiojulikana.Ndio huu wa Urio. Hapa ndio serikali imeweka roho yake.
Mbowe kategua mtego ndiyo maana Urio kachanganyikiwa na nilazima ashitakiwe kwa kuwaingiza nduguze matatani na hii lazima iende mahakama ya kijeshi nakule jakuna ujinga ujingaHalafu imekuaje Ghafla Huyu URIO amemchukia Sana Mboweee? Kiasi kwamba anamuona kama nini sijui
UkiSoma between the lines; wala Lt. Urio hajamchukia Mbowe.Halafu imekuaje Ghafla Huyu URIO amemchukia Sana Mboweee? Kiasi kwamba anamuona kama nini sijui
Huyu jamaa ni felia kweli anadai division four huanzia 28 point alafu ana four 25point wakati 25 division three jinga kabisa hiki Uriofour four luteni?
Failure or fightingDivision four,28 pts,failure for food for four years ulitaka ajibuje
Cha kushangaza Kingai alifunguaje faili CD/IR/2097/2020 tarehe 18/7/2020 kabla ya informer Luteni Urio kupeleka taarifa za ugaidi tarehe 24/7/2020? Je, Kingai alioteshwa kwamba kutatokea taarifa za ugaidi afungue faili?Kuna maelekezo mengine hugomewa na mungu ndiyo maana Lt Urio amejikanyaga kajichanganya changanya mahakamani na endapo Jaji atatoa hukumu feki ajua mungu yupo anaona kila baya linaloendelea
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] piga kitu chenyewe homeboy, makushabu usiguse Bob [emoji1][emoji1]
Charge sheet inasema mnamo May 2020 watuhumiwa walikula njama za kutenda uhalifu nchi isitawalike, lakini ushahidi uliotolewa na informer Luteni Urio walianza kukutana 24/7/2020. Hapa Kuna tatizo Kati ya Polisi walioandaa mashitaka na informer Luteni Urio! Inakuwaje mashitaka yaseme njama zilifanyika May 2020, lakini mkutano wa kwanza wa njama uwe 24/7/2020? Mungu ni fundi wa kuumbua.aisee balaa hili!!
kumbe ndio maana wafuasi wa Mbowe walikuwa wakishinikiza mahakama imfutie Kesi!! sasa uovu wote huu alikuwa anauratibu huyu mbowe tungeujuaje?!!
afadhali sasa tunajua matendo yake ya kimafia aliyo kuwa anayafanya dhidi ya serikli.
huyu mhalifu alikuwa anawatumia watu mbalimbali amabo sio waaminifu na waadilifu kukidhi mhitaji yake.........ndio maana alikuwa anatumia neno "atakinukisha" maana yake atachafua amani ya nchi.
Keshavurugwa huyo, hata gari lake amepark at owner's risk huko kambini jeshini!Dahh! Luteni Urio leo kanifunza kitu..hivi kumbe Koplo ni cheo cha afisa jeshii...sasa mbona huwa hawaruhusiwi kuingia "officer's mess" kumbe huwa wanawaonea tu! mimi nilifikiria ngazi ya ofisa jeshini inaanzia Luteni Usu!
Ila UNAWEZA kuwalipa kina Kingai na Swilwa waliofungua kesi tarehe 18/7/2020 kabla ya kupelekewa taarifa za ugaidi na Luteni Urio tarehe 24/7/2020? Hao ndo UNAWEZA kuwalipa wanafungua kesi ya ugaidi mapema kabla ya informer Luteni Urio kupeleka taarifa!Hivi hawa akina Mh. Kibatala unaweza ukatoa hela yako ukawalipa kwamba wanakutetea kweli??
Mkuu hapo mpaka nimeshangaa!!Daaah,kumbe kuwa wakili kazi kweli kweli!Kumbe hadi Biblia wameimeza kichwani!
Kwa udhibitisho gani? Acha kuharisha mkuu"GAIDI MBOWE"
Huijui serikaliIla UNAWEZA kuwalipa kina Kingai na Swilwa waliofungua kesi tarehe 18/7/2020 kabla ya kupelekewa taarifa za ugaidi na Luteni Urio tarehe 24/7/2020? Hao ndo UNAWEZA kuwalipa wanafungua kesi ya ugaidi mapema kabla ya informer Luteni Urio kupeleka taarifa!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Urio amelidhalilisha Jeshi letu. Aibu yao!Ushahidi wa Lt Urio ni ushahidi wa kijinga jinga zaidi na anaendelea kulidhalilisha jwtz
Hakika Magufuli aliweka watu wabaya sana kama yeye hii yote Freeman Mbowe anayopitia ni mpango uliokuwa umesukwa na MwendazakeHakuna ugaidi wowote bali aliyetengeneza ugaidi hewa ni DC Sabaya na kingai kwa Lengo la kumfurahisha marehemu Magufuli