Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Wale waliokuwa wanadanganyana kwenye kitchen Party ya akina maria na fatuma kuwa urio ,urio hayupo sasa huyo hapo anafunguka na maushahidi mazito ta telegram, huyu shahidi ndio anawamaliza kabisa
Ni kweli tena ushahidi usiotia shaka,kwa sms hizo na hadith za kusimulia hizo, lazima Mbowe aishie gerezani.

Kinyelo cha gegedu we.
 
Kiapo cha Jeshi siyo mchezo bwashee!

Ndio maana Jeshi lina mahakama yake.
Huu ni upuuzi at it's best,hakuna aliye juu ya KATIBA ya nchi,shahidi anatakiwa awe mkweli na kiapo alichoapa mahakamani na kama kuna siri za nchi,mahakama itaamua the way forward ikiwa ni pamoja to declassified informations kama hazina athari kwa nchi.Jeshi halipo juu ya sheria.
 
Urio ndiye aliyeapa jeshini so anakielewa vema kiapo chake!
 
Unachekesha kweli wewe....au wewe ndio Urio?
 
Hizo telegram chat na simu walizopigiana hauziamini?
Na nimekuuliza Ina maana kamanda urio anamsingizia mbowe?
Hizo Chats ndio zimesomwa Leo!Hazina viashiria vyovyote vya ugaidi!
Sasa simu walizopigiana,audio ziko wapi?
Inabaki ni competence ya shahidi,Je anaweza kuaminika?So far ameonekana ana elements za uongo!
Huyu Urio ambaye ndiye alitegemewa sana na upande wa mashtaka ameboronga!
 
Siwezi kuwatelekeza nitaambatana nao Kila mahali....!
Yaani wakikata miti Mbowe yupo, wakilipua kituo cha mafuta Mbowe yupo, wakisimamisha magari Mbowe yupo?
Wamfunge tu kama ni hivyo.
Bila bila kweli
 
..makomandoo waachiwe mara moja.

..wabaki mbowe vs urio, na hata hapo bado sijaona ugaidi.
Unaweza kumlaumu huyu jamaa (Urio) kawaingiza wenzake kwenye matatizo ila huenda walipokamatwa pamoja na wenzake alibanwa kisawasawa na akakubali (kwa shingo upande) kuwa shahidi wa jamhuri.

Kutoonekana kwa Moses Linjenje kunaibua maswali mengi.....je huyu kijana nini kilimpata?.....yupo wapi kwa Sasa?...mbona haonekani mahakamani pamoja na wenzake?....
 
WE nae ni mwehu kama alivyokuwa mwehu mwenda zake .
 
Kilio sijui Urio kazi anayo,ataomba kwenda msalani mara tatu tatu.
 
Mzee hii kesi ni aibu yetu wote sisi watanzania katika mataifa... Naona aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…