Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Wale waliokuwa wanadanganyana kwenye kitchen Party ya akina maria na fatuma kuwa urio ,urio hayupo sasa huyo hapo anafunguka na maushahidi mazito ta telegram, huyu shahidi ndio anawamaliza kabisa
Ni kweli tena ushahidi usiotia shaka,kwa sms hizo na hadith za kusimulia hizo, lazima Mbowe aishie gerezani.

Kinyelo cha gegedu we.
 
Kiapo cha Jeshi siyo mchezo bwashee!

Ndio maana Jeshi lina mahakama yake.
Huu ni upuuzi at it's best,hakuna aliye juu ya KATIBA ya nchi,shahidi anatakiwa awe mkweli na kiapo alichoapa mahakamani na kama kuna siri za nchi,mahakama itaamua the way forward ikiwa ni pamoja to declassified informations kama hazina athari kwa nchi.Jeshi halipo juu ya sheria.
 
Huu ni upuuzi at it's best,hakuna aliye juu ya KATIBA ya nchi,shahidi anatakiwa awe mkweli na kiapo alichoapa mahakamani na kama kuna siri za nchi,mahakama itaamua the way forward ikiwa ni pamoja to declassified informations kama hazina athari kwa nchi.Jeshi halipo juu ya sheria.
Urio ndiye aliyeapa jeshini so anakielewa vema kiapo chake!
 
Kwa mujibu wa mtangazaji Godfrey Monyo wa ITV ni kwamba Luteni Urio amesema hawezi kukiuka kiapo chake cha kijeshi kwa kutoa siri za JWTZ mahakamani.

JWTZ ina msemaji wake kwa mujibu wa kanuni zake.

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama

cc: Yoda
Unachekesha kweli wewe....au wewe ndio Urio?
 
Hizo telegram chat na simu walizopigiana hauziamini?
Na nimekuuliza Ina maana kamanda urio anamsingizia mbowe?
Hizo Chats ndio zimesomwa Leo!Hazina viashiria vyovyote vya ugaidi!
Sasa simu walizopigiana,audio ziko wapi?
Inabaki ni competence ya shahidi,Je anaweza kuaminika?So far ameonekana ana elements za uongo!
Huyu Urio ambaye ndiye alitegemewa sana na upande wa mashtaka ameboronga!
 
Siwezi kuwatelekeza nitaambatana nao Kila mahali....!
Yaani wakikata miti Mbowe yupo, wakilipua kituo cha mafuta Mbowe yupo, wakisimamisha magari Mbowe yupo?
Wamfunge tu kama ni hivyo.
Bila bila kweli
 
..makomandoo waachiwe mara moja.

..wabaki mbowe vs urio, na hata hapo bado sijaona ugaidi.
Unaweza kumlaumu huyu jamaa (Urio) kawaingiza wenzake kwenye matatizo ila huenda walipokamatwa pamoja na wenzake alibanwa kisawasawa na akakubali (kwa shingo upande) kuwa shahidi wa jamhuri.

Kutoonekana kwa Moses Linjenje kunaibua maswali mengi.....je huyu kijana nini kilimpata?.....yupo wapi kwa Sasa?...mbona haonekani mahakamani pamoja na wenzake?....
 
sina chuki binafsi bali nina hasira sana na mtu yeyote anaye chezea amani ya nchi hii.
huyu mboe dhamira yake ilikuwa ni kuichezea amani ya nchi huku akiwa amejificha kwenye kivuli cha uenyekiti wa chama!!
hata hivyo ashukuru sana Mungu Tanznia kuna utawala wa sheria, ingekuwa nchi zingine zisizo fuata utawala wa sheria.....hiiiiiiiiieeeee!!
WE nae ni mwehu kama alivyokuwa mwehu mwenda zake .
 
Kwa mawakili wenye akili, wanaweza kumwomba Jaji asichukue ushahidi wowote wa shahidi kwa sababu hawezi kuisaidia mahakama kutenda haki. Na nadhani ndio kinachoenda kutokea hapa, Jaji atataka shahidi ajibu na majibu mengi yakiwa "sijui", "siwezi kujibu hilo", "sifahamu" shahidi anakuwa ameonesha incompetency. Inadmissible ushahidi is on the cards!! Na ukiangalia kuwa shahidi huyu ni muhimu, inaacha sehemu kubwa ya mashtaka uchi! Shahidi anajua anaelekea kuulizwa "kwanini uliwachagua washitakiwa hawa na wala sio wengine inactive au serving. Je ulijua ndio wanaweza kulipua? Imani yako kuwa wanaweza kulipua inatokana na mafunzo uliyowapatia wewe"??
Kilio sijui Urio kazi anayo,ataomba kwenda msalani mara tatu tatu.
 
Huyu shahidi jana alisema Mbowe alikua anatumia namba tofauti tofauti, Leo kwenye chatting za telegram yeye ndo alikua anamtahadharisha Mbowe, afu kama alikua kwenye mission na kina Kingai kwanini amtahadharishe target man? Au ndo sababu ya yeye pia kuteswa kama kweli aliteswa.... Anyway kesi hakuna hapa tufanye shughuli zingine za maendeleo
Mzee hii kesi ni aibu yetu wote sisi watanzania katika mataifa... Naona aibu
 
Back
Top Bottom