A-10
JF-Expert Member
- May 15, 2020
- 212
- 351
Ni kweli tena ushahidi usiotia shaka,kwa sms hizo na hadith za kusimulia hizo, lazima Mbowe aishie gerezani.Wale waliokuwa wanadanganyana kwenye kitchen Party ya akina maria na fatuma kuwa urio ,urio hayupo sasa huyo hapo anafunguka na maushahidi mazito ta telegram, huyu shahidi ndio anawamaliza kabisa
Kinyelo cha gegedu we.