Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ni kilaza huwezi kuelewa!Mantiki ya swali hili ilikuwa kujua uhaba wa makomando mpaka watumie waliofukuzwa kwenye issue nyeti kama hiyo na kwamba kwanini asingetumia walioko kazini kumaliza utata.
Hii ishu ilianzia wakati wa utawala wa Jiwe na Urio alitegemea ingefanikiwa ngepanda cheo kama kina Mbuge alivyopanda hii yote kwa Urio ni tamaa
 
Unamchukulia poa Dennis kwenye utekelezaji wa majukumu ya kazi yake sio?
 
Mnachoshindwa kuelewa hii kesi ni kitu kimoja.
Mbowe hatuhumiwi amefanya ugaidi.
Bali ANATUHUMIWA KUTAKA KUPANGA MATENDO YA KIGAIDI.ambayo wakati anapanga akamshirikisha mtu sio.
Ndo maana akawa Ana chat nae anampigia simu na kumtumia hela.
Mtaelimika lini nyie watu!?
KIUFUPI MKUBALI MKATAE MWENYEKITI KUNA SEHEMU KAKOSEA.
hauwezi kupanga mipango na mwanajeshi ukawa salama.
 
hadithi vikao vya mikocheni?
hadithi unamwambia mtu akutafutie vijana?
Hadithi una chat nae ?
Hadithi una mtumia mtu hela?
nitakuwa wapumbavu mpaka mnakufa.
Akili mnazo Ila hamtaki kuzitumia.
Umeshajiita mjinga weye, unafikiri mahakama inapokea hadithi ?
 
Pole sana.maana hii kesi ni ngumu na mbowe hatoki.
Mkubali tu mwenyekiti wenu Kuna mahali AMEKOSEA.
Akina kibatala Wana hahaaa kuhangaika Ila wanajua kesi imeshakuwa ngumu ndo maana wanauliza vitu vya ajabu
Rejea jina lako.
 
Nikwambie kitu.
Wafuasi wa mbowe hamna AKILI.
Hamjipi kazi ya kujiuliza.
Kitu ambacho mnatakiwa mjadili.
Chat za mbowe ziliingia vipi kwenye simu ya kamanda urio.?
Je ninkweli walifanya vikao mikocheni.
Je NI kweli mbowe alikuwa anamtumia hela kamanda urio.
Hapa ndipo tuhuma za kupanga mipango ya kigaidi .
Ndipo zilipo.
Wenzenu wanawabana kwenye chat,na vikao na hyo miamala ya fedha.
MTAAMKA LINI?
 
hadithi vikao vya mikocheni?
hadithi unamwambia mtu akutafutie vijana?
Hadithi una chat nae ?
Hadithi una mtumia mtu hela?
nitakuwa wapumbavu mpaka mnakufa.
Akili mnazo Ila hamtaki kuzitumia.

..hiyo miamala at least ingetumika kwenye mambo yanayohusiana na ugaidi, kwa mfano kununua silaha, etc.

..nimesoma kwamba lt.urio alitumia miamala kununua chakula, na hakuna mahala popote ambapo ameeleza miamala ilitumika ktk mambo yanayohusiana na ugaidi.
 
Unazunguka mbali sanaaa! hakukuwa na hiyo kazi ya Ugaidi, ndio ulitakiwa uanzie hapo haya mengine yote hayapo kwa sababu hayo mambo ya kwenda kufanya fujo hayakuwepo
 
Urio hajui kama akina Mbowe walipanga kufanya ugaidi,lakini yeye huyo huyo akapeleka taarifa.kwa dci Boaz ?.Huyu alipata kibano hadi akakubali kutoa taarifa ambazo amezikana hapo mahakamani.Anatakiwa sasa aseme ni nani alimtesa ili akiri kwamba kulikuwa na suala la ugaidi.Kumbe pale Tazara Urio ndiye alikuwa anapata kibano.
 
Kwani Mbowe akiwasiliana na mtu ndo ugaidi? Kwani Mbowe akimtumia mtu pesa ndo ugaidi? Kumbe wanaposema akili ni ndogo,kumbe ni kweli.Sijaona popote ambapo hata huyo Urio anapokiri kwamba alikuwa a organize watu kwa ajili ya ugaidi.
 
Chadema mnajipa moyo lakini wengi ni mazuzu wa sheria.

Point mnazochukua nyinyi sio point anazochukuwa Jaji kwenye maelezo anayouatoa shahidi.

Kwenye mahakama ya Maria Sarungi Mbowe yuko huru,ila kwenye mahakama ya serikali Mbowe anaweza kuiepuka kesi au hatia ya ugaidi lakini sio kukwepa tuhuma zote.

Ile tu kuajiri au kitendo cha kula njama na askari aliyefukuzwa.

Ukataka kumpa majukumu yako mapya bila mamlaka husika kujua,inathibitisha nia ovu.

Kama Mbowe alitaka walinzi binafsi basi kuna taratibu zake halali za kufuatwa na sio hii ya kuwakusanya kina Adamoo.

Kwenye kesi mtuhumuwa hutiwa hatiani na kipengele kidogo sana.

Nyinyi mawakili wa kichaga endeleeni na hii mahakama yenu huku JF.

Lakini msiingilie ile mahakama halali.
 
Akili yako inaendana kabisa na jina lako. Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…