Urio Angekuwa Na Akili, Angewachukua Wanajeshi Walio kazini [emoji28][emoji28] kwenda Kufanya Hiyo Kazi Maalumu Yeye ameita Tactical Nini Sijui….. hiyo Inge sound Good kuwa Jamaa Alikuwa Smart, Later on Mbowe angestuka Kuwa Anafanya kazi Na wana Jeshi ambao Wako kikosini na Hawajafukuzwa Kazi.
Sasa, Yeye kaenda kuwatafuta walio Fukuzwa kazi ambao Wanasota Mtaani kwa ugumu wa Maisha, ambao wanakuwa Rahisi sana Kuwa rubuniwa na Kumgeuka kwa marengo yake kama kweli aliwaambia. Pesa ni haramu, Huwezi kumwambia Mtu asiye lipwa na serikali au kusaidia chochote na serikali by the way serikali ndio imemfanya awe anasota Mtaani etiii Kumbukeni Kiapo Mlicho Kula [emoji28][emoji28][emoji28] where? When? Which? Who? How? Whom? [emoji28][emoji28]
Sasa Urio, Uliwatafuta Makomandoo wa 4 ukawawekea Mtego kuwa chochote watakacho Ona Sio Sawa Wakuambie, Ni kama Walikuwa Informer wako kama Wewe ulivyokuwa Informer wa Kingai…. kwa maana Hiyo Urio Unajua kabisa Ile Bastola A ngapi sijui unajua ilitoka wapi?, Unajua yale Madawa ya Kulevya walioshikwa nayo yaliyoka wapi, hata visu vya jeshi sijui Uniform Urio Unajua Vilitoka wapi…. Kwasababu hawa si ndio walikuwa Informer wako? Na Ukaona baada yao kukamatwa ukajua Kazi Imeisha Na Ulilotaka Lilikuwa Limetimia [emoji28][emoji28][emoji28] Chukua Sasa Vifaa Ulivyo wapa virudi pahala Pake.
Urio Ulikosa kabisa Akili ya kuchukua Wanajeshi walio Kazini? Maana Tanzania Hamna Vita, So wanajeshi wanakula Bata tuuu, Hii ingekuwa moja Ya Kazi yao na Mbowe Angekamatwa na Kufungwa mchana Kweupeeeee [emoji28][emoji28][emoji28] nini Kilikufanya Uwachukue walio Fukuzwa kazi Tena kwa Kuonewa. Labda tusubiri wakati wakujitetea watasema wao ni wanajeshi Kamili na bado wako kazini walikuja kwa Mbowe kwa Kazi Maalumu.