mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hapo ndipo mnakosea
Mambo ya ulinzi kamanda urio ndo aliwadanganya wale makomando.
Lakini malengo ya mbowe hayakuwa hayo.ila urio aliwadanganya wale makomando maana angewaanbia ukweli wangekataa.
Ila kikao walichokaa kule mikocheni mbowe alimpa malengo tofauti.
Mbona haya Mambo yapo humu jwanini usijisomee badala ya kukoment tu?

We kingai...
Shahidi ameeleza wazi hizo hela alipewa kama nauli ya kuwaleta walinzi....
Tatizo liko wapi hapo mkuu...