Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

Hapo ndipo mnakosea
Mambo ya ulinzi kamanda urio ndo aliwadanganya wale makomando.
Lakini malengo ya mbowe hayakuwa hayo.ila urio aliwadanganya wale makomando maana angewaanbia ukweli wangekataa.
Ila kikao walichokaa kule mikocheni mbowe alimpa malengo tofauti.
Mbona haya Mambo yapo humu jwanini usijisomee badala ya kukoment tu?
We kingai...

Shahidi ameeleza wazi hizo hela alipewa kama nauli ya kuwaleta walinzi....

Tatizo liko wapi hapo mkuu...
 
Urio ndio chanzo Cha hii kesi, ndio shaihidi hovyo kuliko wote, naisi alitegemea kitu kutoka kwa Mbowe ambacho hajakipata, ndio chanzo Cha kesi ya uongo.
 
Kutuma hela sio kosa.
Tatizo Yule uliyemtumia ndo amegeuza kuwa kosa.
Hatujui urio na mbowe Wana biashara gani.
Ila kitendo Cha chat za mbowe,calls za mbowe na miamala ya fedha kuingia kwenye simu ya kamanda urio.inatia mashaka.ziliingia vipi?
Na urio anasema mbowe alikuwa anafanya mipango ya kutekeleza ugaidi?
Mbona NYIE wagumu kuelewa?
Mwenyekiti Kuna sehemu AMEKOSEA.
Wenzake wanambana kwenye hayo Mambo 3.View attachment 2098110

Kwahiyo sasa hivi mimi nikimtumia mtu hela, kuchat naye na kufanya naye kikao nikienda kufungua kesi ya ugaidi anafungwa. Sio bure viongozi wa CCM wanawatumia kwa Mambo ya kihanithi iwapo akili zenu ndio hizi.
 
Kesi ya kijinga sana na imechongwa na wajinga ili kulinda heshima ya chief Hangai aliepotoshwa.

Badala ya kushughulikia waliomdanganya Rais mnashughulikia watu wasio na hatia,mnatuletea mikosi tu ktk taifa kwa uonevu wa raia
 
Hapo ndipo mnakosea
Mambo ya ulinzi kamanda urio ndo aliwadanganya wale makomando.
Lakini malengo ya mbowe hayakuwa hayo.ila urio aliwadanganya wale makomando maana angewaanbia ukweli wangekataa.
Ila kikao walichokaa kule mikocheni mbowe alimpa malengo tofauti.
Mbona haya Mambo yapo humu jwanini usijisomee badala ya kukoment tu?
Na wewe umeng'ang'ana na hiyo mikocheni lete ushahidi bas sio maneno matupu. Mikocheni mikocheni baada ya kuona ya telegram yamebuma
 
Kwa Mawazo Yangu...

si Urio wala Mbowe waliokua wanapanga uhalifu. Hii kesi ilikua iwe kiporo cha kama vurugu zingefanyika kupinga uchafuzi mkuu uliokua umefanyika, ili katika kuwatuliza watu viongozi wao wapewe shutuma nzito.

Hapa nahisi na kutokana na bwana yule, mawasiliano ya mbowe yalikua yanafuatiliwa na katika kuyafuatilia huko wakakuta anachat na Commando wa Jeshi Mr Urio. Na hapo urio akadandiwa na kubananishwa kipi kinachoendelea ndipo mpango wakumtafutia walinzi ukajulikana.

Baada ya hapo kwa usalama na maslahi ya mr urio ilibidi ashirikishwe kuiandaa hii kesi kama yeye ndio chanzo cha mchongo mzima. Ila urio sio msaliti wala hana uzalendo huo wakutoa taharifa za kiharifu kwa mtu anaemuwezesha yeye mwenyewe kutenda uhalifu huo... ni rahisi kuingizwa kwenye hatia watuhumiwa wakianza kujitetea.

#NawazaTuu
 
Ewaah .Sasa hapo inategemea umemtumia hela kwa malengo gani.
Haiwezekani mbowe hamjui kamanda urio alafu chat za mbowe na calls na miamala ya fedha vionekane katika simu ya kamanda urio.
Ndo maana nasema mbowe Kuna sehemu AMEKOSEA.
Sasa ili urio aonekane MUONGO inabidi aje AMKANE urio kuwa hamfahamu na Wala hawajawahi kukutana Wala kupigiana simu Wala kumkutumia hela.
Hapo kesi ndipo ilipo.
Kwahiyo sasa hivi mimi nikimtumia mtu hela, kuchat naye na kufanya naye kikao nikienda kufungua kesi ya ugaidi anafungwa. Sio bure viongozi wa CCM wanawatumia kwa Mambo ya kihanithi iwapo akili zenu ndio hizi.
 
Comte naona leo atakuwa kaishiwa hela ya bando🤣🤣 jana alitutambia sana yahani kila page alitokea sio chini ya mara nne. LEO KIMYAAAAA
Nilikuwa shamba navuna mahindi yanaharibiwa na mvua ili nipande mengine. Bila mimi mahindi ya kuchoma mnayokula hapo mahakamani yasingepatikana.
Kuhusu kesi naona iliisha baada ya upande wa mashitaka kufunga na Urio- hizi comedy za Kibatala ninazipitia na nitakuja kisawasawa
Bando kwa bei ya mahindi ya sasa siwezi ishiwa- niko sawa sawa
 
Sasa Mimi ndo niliyesema wamekutana mikocheni au shahidi kamanda urio [emoji16][emoji16][emoji16].
Mbona unanionea.
Watu wa mbowe ndo mnatakiwa kuleta ushahidi kuwa hapana kamanda urio anasema uongo hawajawahi kukutana na mbowe huko mikocheni.
Msingi wa kesi upo hapo ninyi mtaelimika lini?
Na wewe umeng'ang'ana na hiyo mikocheni lete ushahidi bas sio maneno matupu. Mikocheni mikocheni baada ya kuona ya telegram yamebuma
Screenshot_20220127-110149.jpg
 
Hii kesi hadi sasa Bado inaonekana ni ya kisiasa na sababu ya FAM kukamatwa ni kongamano LA Katiba mpya, kwanini?
Police wanadai walishindwa kumkamata FAM kwa kipindi chote baada ya kuwakamata kina Adamoo kwa sababu uchunguzi wao ulikua haujakamilika kumtia hatiani, lakini ukiangalia hadi sasa ushahidi wote unaotolewa dhidi ya FAM ni wa kabla ya kukamata kina Adamoo, meaning kwamba hakuna chochote kipya walichopata...
 
Sasa Mimi ndo niliyesema wamekutana mikocheni au shahidi kamanda urio [emoji16][emoji16][emoji16].
Mbona unanionea.
Watu wa mbowe ndo mnatakiwa kuleta ushahidi kuwa hapana kamanda urio anasema uongo hawajawahi kukutana na mbowe huko mikocheni.
Msingi wa kesi upo hapo ninyi mtaelimika lini?View attachment 2098154
Kwani wamekutana mikocheni tu?
 
Uza ubongo huo Kingai maana unakaa nao kwa hasara. Toka lini kukaa kikao na kutuma hela ikawa kosa? Au kila aliyekaa kikao na Urio na kumtumia hela alikuwa anapanga ugaidi? Huu upuuzi umeongea hapa nimecheka kwa dhihaka kwa mtu mzima kama we kuusema.
Mkuu Tindo kabla ya kumjibu angalia kwanza jina lake .....utamhurumia
 
Huwa naheshimu sana maafisa kuanzia nyota moja kuendelea kumbe ndio wajinga hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kaulizwa kabla ya kuingia jeshini, Elimu yake n ipi? Eti 4m 4 wooiiiiiiiiiiiih.
 
Najua Siasa ni mchezo mchafu, ila ninachoomba Haki itendeke katika kesi hii. Hii kesi italeta funzo kwa watu mbalimbali kama wanasiasa, wanasheria, vyombo vya ulinzi n.k

Kubwa zaidi, Tanzania ni muhimu kuliko maslahi hasi yoyote. Tuilinde amani ya nchi yetu Tanzania milele daima.
 
Kwa Mawazo Yangu...

si Urio wala Mbowe waliokua wanapanga uhalifu. Hii kesi ilikua iwe kiporo cha kama vurugu zingefanyika kupinga uchafuzi mkuu uliokua umefanyika, ili katika kuwatuliza watu viongozi wao wapewe shutuma nzito.

Hapa nahisi na kutokana na bwana yule, mawasiliano ya mbowe yalikua yanafuatiliwa na katika kuyafuatilia huko wakakuta anachat na Commando wa Jeshi Mr Urio. Na hapo urio akadandiwa na kubananishwa kipi kinachoendelea ndipo mpango wakumtafutia walinzi ukajulikana.

Baada ya hapo kwa usalama na maslahi ya mr urio ilibidi ashirikishwe kuiandaa hii kesi kama yeye ndio chanzo cha mchongo mzima. Ila urio sio msaliti wala hana uzalendo huo wakutoa taharifa za kiharifu kwa mtu anaemuwezesha yeye mwenyewe kutenda uhalifu huo... ni rahisi kuingizwa kwenye hatia watuhumiwa wakianza kujitetea.

#NawazaTuu
Urio amekili hadharani kuwa yeye ndiye 'whistler brower' wa hii kesi na alienda kwa DCI kuripoti hii maneno……….. hii inatosha kabisa kumtika zigo lote la hii kesi!
 
Sasa nimeelewa kwanini mama yangu alilia na kujilaani nilipopata ajira jeshini. Na namshukuru Mungu nilivyotoka jeshini salama na mambo yangu yanaendelea vizuri....

Cc: mchepuko wangu cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babuuuuh huo uchepuko umeanza lini?
Mwaka huu unipeleke shule nikaanze 4m 5, nataka chuo nisomee sheria, ili nije kuwa mtetezi wa haki za binadamu kwa kuzingatia usawa wake.

Babuuh hii case unaionaje eti? Kheeeeeh kumbe ulikua mjeda babuuh mbna hujawahi tuambia wee? Bibi anajua hili lakini? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom