Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ndiyo kinachokuja kwa bibi ushungiMshukuruni Bwana kwa Kuwa ni Mwema. Maana Fadhili zake ni za milele.
Ameeen
Mfalme Sauli alipambana sana amuue Daudi kwa kuwa alihofia Daudi atachukua Ufalme wake. Haikuwezekana Daudi mwishowe akawa Mfalme.
Mungu ni mwema sana
Walipewa maelekezo na Mwenyekiti wa CCMaloo kumbe hii kesi ni ya kutungwa na so far imekosa ushaidi wa kumtia hatian watuhumiwa, waliotunga kesi hii wanaloo
Mwenyewe nimejifunza mambo mengi sn hapaNaam,cross examination ni elimu ya Bure Kwa tusiokuwa wanasheria!
Kama Umefuatilia kesi Toka Mwanzo,na mpaka Sasa hujaongeza ufahamu kuhusu mambo ya kisheria basi utakuwa kilaza!
Shahidi wa uongo kaamua liwalo na liwe hamna kitu anachoelewa tena madesa yamevurugikaHuyu Shahidi keshachoka kiakili[emoji3][emoji3]
Jaji: Sikiliza Swali vizuri Unaulizwa hiyo Tsh 9000 ulifanyiaje Kazi
Shahidi: Ndiyo nilikuwa naeleza, Wote Wanakiri Kupokea Pesa kutoka Kwa Luten Denis Urio
Kibatala: Kwahiyo hapo Ndiyo umefanyia kazi
Shahidi: Ndiyo
Aibu naona mimi !Shahidi wa uongo kaamua liwalo na liwe hamna kitu anachoelewa tena madesa yamevurugika
Muda huu akumbuki hata moja aliloambiwa na kidando wasipo muangalia anaweza kujizimisha huyo kuweni makini nayeHuyu Swilla hamna kitu kabisaaaaa !!! hii nchi inawezaje kuwa na Wapelelezi duni kiasi hiki ? alipataje kazi huyu ?
[emoji23][emoji23]Shahidi wa uongo kaamua liwalo na liwe hamna kitu anachoelewa tena madesa yamevurugika
Hivi Jaji hawezi kumuokoa shahidi kwa kurusha taulo aliposimama Kibatala ili aletwe shahidi mwingine ?Kibatala: Swali ni kwamba 174,000 na 199,000 zinafanama Vipi
Shahidi: Nishasema zinafanama
Kibatala: Kwa Figure zinafanama
Shahidi: Nishasema zinafanama
Jeuri na kukata tamaa vinakaribiana sanaMbona leo shahidi anajibu kwa jeuri sana.!
Yah right. Dunia ya BONGO......!!Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Huyu Freeman Mbowe aliwahi kufungwa lakini akatoka baada ya kulipa faini baadae Mahakama ya Rufaa ikaona alifungwa bila kuwa na hatia ( alionewa)
Maisha ya hii dunia ni ubatili mtupu!
Sikujua kama sheria ni tamu hivi.Kabisa ,yaani nimeongeza maarifa ,nimeongeza kujiamini zaidi Sana nimeipenda sheria
Kibatala: Na Maelezo ya Kasekwa na Maelezo Ya Mohammed Ling'wenya kwenye Figure ambayo Mmoja anasema Jumla Walipewa TSh 174,000 na Mmoja anasema TSh 190,000 Je zinafanana au zinatofautiana
Shahidi: Zinafanana
Huyu shahidi ni bwege
shahidi sijui leo ugonjwa ndio umemzidia" maana hata anachojibu hakieleweki, ukiangalia kwenye ile miamala figure zimetofautiana kabisa lakini bado analazimisha kuwa zipo sawa yaan hapo ndio utaona kweli shahid ni hopeless, matumaini yote kwisha kaziHabari Wakuu,
Leo 14/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Mawakili wa Serikali waliomba ahirisho la kesi hadi leo Februari 14, 2022 kutokana na Shahidi Tumaini Swila kushindwa kufika Mahakamani siku ya Februari 10, 2022 kutokana na ugonjwa. Awali Februari 9,2022 aliomba ahirisho kwakuwa alikuwa hajisikii vizuri.