Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3. Shahidi wa 13, Tumaini Swila kuendelea kutoa ushahidi Februari 15, 2022

Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake 3. Shahidi wa 13, Tumaini Swila kuendelea kutoa ushahidi Februari 15, 2022

Mshukuruni Bwana kwa Kuwa ni Mwema. Maana Fadhili zake ni za milele.

Ameeen

Mfalme Sauli alipambana sana amuue Daudi kwa kuwa alihofia Daudi atachukua Ufalme wake. Haikuwezekana Daudi mwishowe akawa Mfalme.

Mungu ni mwema sana
Ndiyo kinachokuja kwa bibi ushungi
 
Naam,cross examination ni elimu ya Bure Kwa tusiokuwa wanasheria!
Kama Umefuatilia kesi Toka Mwanzo,na mpaka Sasa hujaongeza ufahamu kuhusu mambo ya kisheria basi utakuwa kilaza!
Mwenyewe nimejifunza mambo mengi sn hapa
 
Huyu Shahidi keshachoka kiakili[emoji3][emoji3]

Jaji: Sikiliza Swali vizuri Unaulizwa hiyo Tsh 9000 ulifanyiaje Kazi

Shahidi: Ndiyo nilikuwa naeleza, Wote Wanakiri Kupokea Pesa kutoka Kwa Luten Denis Urio

Kibatala: Kwahiyo hapo Ndiyo umefanyia kazi

Shahidi: Ndiyo
 
Huyu Shahidi keshachoka kiakili[emoji3][emoji3]

Jaji: Sikiliza Swali vizuri Unaulizwa hiyo Tsh 9000 ulifanyiaje Kazi

Shahidi: Ndiyo nilikuwa naeleza, Wote Wanakiri Kupokea Pesa kutoka Kwa Luten Denis Urio

Kibatala: Kwahiyo hapo Ndiyo umefanyia kazi

Shahidi: Ndiyo
Shahidi wa uongo kaamua liwalo na liwe hamna kitu anachoelewa tena madesa yamevurugika
 
16448222408212.jpg
 
Kibatala: Na Maelezo ya Kasekwa na Maelezo Ya Mohammed Ling'wenya kwenye Figure ambayo Mmoja anasema Jumla Walipewa TSh 174,000 na Mmoja anasema TSh 190,000 Je zinafanana au zinatofautiana

Shahidi: Zinafanana

Huyu shahidi ni bwege
 
Mungu wa mbinguni awabariki sana!

Huyu Freeman Mbowe aliwahi kufungwa lakini akatoka baada ya kulipa faini baadae Mahakama ya Rufaa ikaona alifungwa bila kuwa na hatia ( alionewa)

Maisha ya hii dunia ni ubatili mtupu!
Yah right. Dunia ya BONGO......!!
 
Habari Wakuu,

Leo 14/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Mawakili wa Serikali waliomba ahirisho la kesi hadi leo Februari 14, 2022 kutokana na Shahidi Tumaini Swila kushindwa kufika Mahakamani siku ya Februari 10, 2022 kutokana na ugonjwa. Awali Februari 9,2022 aliomba ahirisho kwakuwa alikuwa hajisikii vizuri.
shahidi sijui leo ugonjwa ndio umemzidia" maana hata anachojibu hakieleweki, ukiangalia kwenye ile miamala figure zimetofautiana kabisa lakini bado analazimisha kuwa zipo sawa yaan hapo ndio utaona kweli shahid ni hopeless, matumaini yote kwisha kazi
 
Back
Top Bottom