Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

Mie nikifika baa naitwa chifu nahisi nimesimkwa na tbl
 
Wewe ni sawa na sisimizi tu kati ya wapiga kura
Kiki zote zimebmaaaa, mnatia hurumaaa,
Leo shinyanga kawakarisha vijana wakamvisha marubega halafu akasema eti wazeeee wakisukumaaa, waaapiii pale umeona Luna mzeee???
 
Kwani Chief malonja katimuliwa uchifu,😂😂😂 wasukuma hata sielewi wana machifu wangapi😀😀,maana tokea slaa, lowasa,mnyika n.k wote machifu wawasukuma,😂😂 na Mimi nipo mbioni kuja kujichukulia hicho cheo nisije kuwa nakaa kibwege bwege huku nakosa vyeo vya bure huko😂😂.
 
Kiki zote zimebmaaaa, mnatia hurumaaa,
Leo shinyanga kawakarisha vijana wakamvisha marubega halafu akasema eti wazeeee wakisukumaaa, waaapiii pale umeona Luna mzeee???
Mwaka huu lazima mtazalishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…