Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
I am the outstanding Nyani son of Ngabu.Na wewe ni nani?
Who the F are you?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I am the outstanding Nyani son of Ngabu.Na wewe ni nani?
Wewe ni sawa na sisimizi tu kati ya wapiga kuraWalikuepo waliodekiwa mabarabaraa, kipigo kikawa kilekile, sembuse huyo analazimisha tumpe uraisi kama kifuta machoziiii
Atakoma kumuacha masele na kumuweka makarai hata akapige mswaki atoboi zote kura upinzani walimtaka masere akamkata
Hiyo ni lazima, kama anaweza kuwasomba washangiliaji kutoka dodoma hadi singida atashindwa hilo dogo?Lazima na yeye akatengeneze genge feki la kumsimika na yeye.
Kiki zote zimebmaaaa, mnatia hurumaaa,Wewe ni sawa na sisimizi tu kati ya wapiga kura
Ndio kashakuwa sasa.Ametapeliwa huyo!! Haiwezi kuwa Chief wa Wasukuma huyo!
Wanywe sumu akitoka hapo tunampa ulaigwanani wa kabila ya wamasai.Tatizo ni wivu
Lissu hawezi kuwa ngosha.
Wanamdangnya tu.
1:KambarageYa 5 bro sio 6
Wakajinyonge tuWanywe sumu akitoka hapo tunampa ulaigwanani wa kabila ya wamasai.
Kesho kutwa mwenyekiti wako wa CCM Mzee Pombe ataenda Moshi atavalishwa ngozi ya chui na kusimikwa.Lissu hawezi kuwa ngosha.
Wanamdangnya tu.
Ni yeye mwenyewe Lissu alikataa kuwa yeye ni ngosha.Ngosha = Mwanaume, sasa Hemu nieleweshe!
Ndiyo maana aisee, kumbe wewe ni msukuma.Kasimikwa na nani? Na kwa kipi?
Wasukuma tuna taribu zetu si kienyeji hivyo.
Yaani hata utamu hujausikia?Haisaidii kitu zaidi ya kuwadhslilisha jamaa zako wa koromitdje
Mwaka huu lazima mtazalishwaKiki zote zimebmaaaa, mnatia hurumaaa,
Leo shinyanga kawakarisha vijana wakamvisha marubega halafu akasema eti wazeeee wakisukumaaa, waaapiii pale umeona Luna mzeee???
Aliwazalo mjinga ndiyo afanyaloYaani hata utamu hujausikia?
Akija Magufuli hapo shinyanga , nyinyi ndipo mtakapojua hamjui.Leo muda huu Lissu anasimikwa kuwa chifu wa wasukuma
Uwanja wa joshoni uko shinyanga
View attachment 1556659
View attachment 1556804
Amesimikwa na kina nani? Usije kuwa habari za fulani "apewa upadrisho wa Kanisa Katoliki" halafu kumbe ilikuwa Kanisa la Kipentekoste....