Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Uhariri ?embu tuondolee mihemuko uchwara hapaPicha lazima zifanyiwe uhariri kwanza ndio ziletwe hapa, muulize kwa nini saivi CHADEMA hawafanyi live YouTube broadcasting kama walivyofanya Mbagala na Kawe?
Unashangaa nn kama safari wameianza saa 6 usiku?? Je unajua wamesafiri kwa kutumia chombo gn? Usiandike tu fikiri kabla
Uhariri ?embu tuondolee mihemuko uchwara hapa
Mkuu kutoka Mwanza kwenda Shinyanga ni masaa mawili tu. Ukiwa na "private' ni chini ya hapo. Ila kama wao wamesafiri " usiku kucha", sawa! Umeridhika?Unashangaa nn kama safari wameianza saa 6 usiku?? Je unajua wamesafiri kwa kutumia chombo gn? Usiandike tu fikiri kabla
Unaacha kushaangaa laptop za walimu unakuja kushangaa safari embu acha usaniiHata mimi nashangaa
Kwa hiyo ya jana mwanza na juzi Arusha ni kuhariri tulia chai isikuunguzeUnafikiri kwa nini hawafanyi live broadcasting, unafikiri kwa nini picha zinatumwa baada ya muda mrefu ?
Kwa hiyo ya jana mwanza na juzi Arusha ni kuhariri tulia chai isikuunguze
Si uende hata YouTube mbona links huwa zipo za live pia.Nimekupata mkuu
Jipige kifuani kisha sema " Mimi ni Mpumbavu sana Mimi ni mjinga sana."Fanya hivyo mara 3 kwa siku kwa muda wiki moja Utapona!.Unafikiri kwa nini hawafanyi live broadcasting, unafikiri kwa nini picha zinatumwa baada ya muda mrefu ?
Mi nilidhani utashangaa chombo Cha Taifa na vyombo vyote vya habari kutorusha live mkutano halali wa Chadema. UnaumwaNawashangaa chadema wanashindwa kurusha mikutano yao live,na Wana chadema tv on line na pia Wana bavicha tv,tatizo ni nini?
Jipige kifuani kisha sema " Mimi ni Mpumbavu sana Mimi ni mjinga sana."Fanya hivyo mara 3 kwa siku kwa muda wiki moja Utapona!.
Aanzishe kampuni ya ulinzi ili awaajiri wa wasiojulikana kwa maana ni wengi na watakosa ajiraRais kashapatikana tayari Magufuli atafute kazi ya kufanya.
Angalau mmeanza kupost kidogo picha zinazoonekanaLissu ndani ya shyinyanga# ni yeye 2020View attachment 1556276
Usiweke picha za 2015, lete za leo kamanda. Michuzi hayupo kwenye kampeni team ya CDM, hizo ni picha za 2015 za Lowasa.
WanaJF
Karibuni kufuatilia mapokezi makubwa ya Mgombea Urais CHADEMA Tundu Lissu hapa mjini Shinyanga.
Lissu anatarajiwa kuhutubia mkutano Mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Joshoni ikiwa ni uzinduzi wa kampeni kwa Kanda ya Serengeti.
Mgombea huyo wa Urais anaambatana na Mgombea Mwenza Salum Mwalimu na Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe
Sisi wa Molemo Media tumesafiri usiku kucha kutokea Mwanza na tupo hapa Shinyanga kuihabarisha dunia.
View attachment 1556310
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu ameingia Kanda ya Serengeti (Mara, Shinyanga & Simiyu) ambapo leo atakuwepo Shinyanga Mjini akiambatana na Mgombea-mwenza, Salum Mwalim pamoja na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe
Ok sawaWanaJF