Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

Jipige kifuani kisha sema " Mimi ni Mpumbavu sana Mimi ni mjinga sana."Fanya hivyo mara 3 kwa siku kwa muda wiki moja Utapona!.

Sawa kamanda, wewe mwenye akili weka live link uumbuke, mna hariri picha na video ili msiumbuke nyumbxxx wa Ufipa.
 
Usiweke picha za 2015, lete za leo kamanda. Michuzi hayupo kwenye kampeni team ya CDM, hizo ni picha za 2015 za Lowasa.

Kasahau kutoa nenoJina la Michuzi
Ndio zao sasa hivi hata mikutano wanaweka video za 2015 wana edit jukwaani wanaonekana viongozi wa sasa halafu nyuma wanaunga picha za 2015 ya mwanza viwanja vya furahisha walifanya hivyo

Picha wanazotumia sana kuunga ni za mikutano ya Lowasa ya 2015 na ya Slaa
 
Lissu ndiye habari ya mjini kwa sasa!!

kuna waandishi uchwara eti wamenuna, wanasema hawataandika habari za CDM na Lissu - sisi tunawashangaa wakati Azory amepotea hadi wa leo hatujawahi kuwaona wakilaani kitendo hicho cha kishetani - kweli huu ni ukanjanja tena wa kiwango cha lami.

Go Lissu GOOOO!!
 
WanaJF

Karibuni kufuatilia mapokezi makubwa ya Mgombea Urais CHADEMA Tundu Lissu hapa mjini Shinyanga.

Lissu anatarajiwa kuhutubia mkutano Mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Joshoni ikiwa ni uzinduzi wa kampeni kwa Kanda ya Serengeti.

Mgombea huyo wa Urais anaambatana na Mgombea Mwenza Salum Mwalimu na Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe

Sisi wa Molemo Media tumesafiri usiku kucha kutokea Mwanza na tupo hapa Shinyanga kuihabarisha dunia.
View attachment 1556310
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu ameingia Kanda ya Serengeti (Mara, Shinyanga & Simiyu) ambapo leo atakuwepo Shinyanga Mjini akiambatana na Mgombea-mwenza, Salum Mwalim pamoja na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe

MACHO YANGU KAMA NAWAONA POLICE LEO KWA LISSU?
 
Ok sawa
 
Back
Top Bottom