Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

shinyanga kuna chifu mbowe, chifu anna kilango, chifu masele, chifu lowasa, chifu... etc, semeni anahembekwa "kuhanwa" au "anakangwa" ile ngozi ya chonja mbona hawajamvalisha?
Ngozi wa Chonjaa daah umenikumbusha mbali kweli.
 

Ni YEYE LISSU 2029. Bwana yule wa kijani anaongea juu ya wanawake weupe na kuzaa maana matiti wanayo na wanaume wa kutia mimba wapo. Ajabu sana.
 
Live broadcasting inawaumbua, picha na clip zinazoletwa hapa zimepitia uhariri zile nzuri kwa chama ndio zinatoka, Mbagala na Kawe walifanya live broadcasting ni aibu mtupu, Kawe mkutano ulikuwa kama kampeni za udiwani.
Wewe chizi umeng'ang'ania live broadcasting unadhani wote wana bando za bure kustream? Acha hizo picha zinatosha kwani wewe inakuuma Nini?
 
Jana mbona zilitumika?
Labda kibali cha dola mia kililipiwa ila ukweli ni kwamba umati ulikuwa mkubwa na Chadema wanalichukua jimbo la Shinyanga na Kishapu hilo liko wazi kutoka jikoni Katambi hashindi Shy town wala Selemani Nchambi hatoboi Kishapu

Sisi tumekaa CCM kadri ya uwezo wetu na nguvu zetu ila tumeona CHADEMA ndii kunafaa zaidi
 
Mwasisi Hayati Bob Makani pia alikuwa anauhusiano na Chifu wa Kisukuma Chifu Makwaia
 
Pamoja Sana mkuu.Umeeleza ukweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…