Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

hiyo picha ni msafara wa Lowasa akiwa sumbawanga mwaka 2015 kwenye kampeni Chadema acheni usanii sio msafara wa leo wa Lisu huo!!

1598715957762.png
 
Na makamanda uchwara wanashangilia, ha ha ha.
Kwanza hata huyo sio Lissu Lissu harudi Nchini na wala hio sio Chadema Chadema ilishakufa iliuliwa na Serikali ya Viwanda na Hapa kazi tu

Kwa hiyo mtu kama wewe unaeamini Uharo na Porojo hakuna haja ya kuumiza macho
 
Kasahau kutoa nenoJina la Michuzi
Ndio zao sasa hivi hata mikutano wanaweka video za 2015 wana edit jukwaani wanaonekana viongozi wa sasa halafu nyuma wanaunga picha za 2015 ya mwanza viwanja vya furahisha walifanya hivyo

Picha wanazotumia sana kuunga ni za mikutano ya Lowasa ya 2015 na ya Slaa
Kuna wakati unafika unasema utajifariji vipi unakosa namna? Nyie kama bado mko mnafuatilia mikutano ya Lissu mjue kuna watu wenu wako field wawaambie nini kinaendelea
 
Kuna wakati unafika unasema utajifariji vipi unakosa namna? Nyie kama bado mko mnafuatilia mikutano ya Lissu mjue kuna watu wenu wako field wawaambie nini kinaendelea
Angalia picha ya Lowasa 2015 msafara wake Sumbawanga picha ya pili toka mwisho ndio mumebandika kuwa ni msafara wa Tundu Lisu Shinyanga leo!!!!


LOWASA AVUNJA REKODI SUMBAWANGA MJINI
 
Me nadhani hakuna aja yakulumbana kisa wingi wawatu,maana nkujidhalilisha apa mjikite kwenye sera maana wanachi wanataka kusikia mtalifanyia nn taifa.ata hao CCM wanao wabeza wenzao wanajua fika mikutano yao watu wanajaa kwasababu yakwenda kushangaa wasanii,nlkua Jana Singida nilshuhudia mafuso yakileta watu,nlipo jarbu kudads nikaambiwa pia kuna elfu5 zltoka kwawatu wale kwaajl yachakula kushnda pale mkutanoni.watu sasa wanataka kusikia wagombea watawafanyia Nini niher mara100 kumchagua Hashimu rungwe kulko kujchosha nahawa wagombea wenu wanao tudanganya kwamiundo mbinu.Maana zle nhuduma zalazma ata urais tukikupa wewe swala kama barabara au umeme lazma utaweka tu ata uspo tuambia labda tu Kasi yakutenda ndio inaweza kua ndogo;CCM,ACT,CHADEMA tupeni Sera nivp tutatoka kwenye uchumi wakati wa maneno nakua Uchumi wakati unaonekana kwakila mtanzania sio kutuletea blaha blaha zasjui kujaza,sjui kukubalka,hamjui kua kunamuda tunakimbilia makampen kuja kushangaa tu maana hatuna vtu vyakufanya mtaani.
 
Hahhahahha.. Mkuu kumbe!,
Chadema ndio wame graduate sasa kutoka kumiliki vyeti feki sasa wamehamia kwenye picha feki wanaleta za sumbawanga za kampeni za lowasa 2015 na kuziita za Tundu Lisu za leo Shinyanga
 
Chadema ndio wame graduate sasa kutoka kumiliki vyeti feki sasa wamehamia kwenye picha feki wanaleta za sumbawanga za kampeni za lowasa 2015 na kuziita za Tundu Lisu za leo Shinyanga
Na ukute hata Lisu nae yupo akiona hivyo anashangilia kweli
 
WanaJF

Karibuni kufuatilia mapokezi makubwa ya Mgombea Urais CHADEMA Tundu Lissu hapa mjini Shinyanga.

Lissu anatarajiwa kuhutubia mkutano Mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Joshoni ikiwa ni uzinduzi wa kampeni kwa Kanda ya Serengeti.

Mgombea huyo wa Urais anaambatana na Mgombea Mwenza Salum Mwalimu na Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe

Sisi wa Molemo Media tumesafiri usiku kucha kutokea Mwanza na tupo hapa Shinyanga kuihabarisha dunia.
View attachment 1556310
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu ameingia Kanda ya Serengeti (Mara, Shinyanga & Simiyu) ambapo leo atakuwepo Shinyanga Mjini akiambatana na Mgombea-mwenza, Salum Mwalim pamoja na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe
Mgombea wa CCM anafanya mikutano mingi kwa siku kuliko nyinyi,,maana yake anawafikia wapiga kura wengi zaidi na hapo ndo siri ya ushindi ilipo.Haitoshi kufanya mikutano kwenye miji mikuu pekee,huwezi kushinda uchaguzi kwa strategy za namna hiyo,ni kujidanganya.
 
Back
Top Bottom