Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Hivi chadema walijipanga kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katambi akimbizwa hospital ya mkoa baada kuugua ghaflaNaona ni bonge la mapokezi View attachment 1556278
Its true?Katambi akimbizwa hospital ya mkoa baada kuugua ghafla
Acha ushamba jaribu kui zoom uone Body guard wa lissu.hiyo picha ni msafara wa Lowasa akiwa sumbawanga mwaka 2015 kwenye kampeni Chadema acheni usanii sio msafara wa leo wa Lisu huo!!
View attachment 1556346
Matokeo ya mtihani wa kidato cha ngapi unazungumzia kwani alifanya paper ?Lissu ame feli sana.
Si ndio vzirui ili chadema isichaguliwe?? Au vipiLive broadcasting inawaumbua, picha na clip zinazoletwa hapa zimepitia uhariri zile nzuri kwa chama ndio zinatoka, Mbagala na Kawe walifanya live broadcasting ni aibu mtupu, Kawe mkutano ulikuwa kama kampeni za udiwani.
Kama mnavyoedit live streamingpoa mkimaliza ku edit mtatwambia
Mpola sana tuHujambo mkuu
kuhonga au!?Hivi chadema walijipanga kweli?
WanaJF
Karibuni kufuatilia mapokezi makubwa ya Mgombea Urais CHADEMA Tundu Lissu hapa mjini Shinyanga.
Lissu anatarajiwa kuhutubia mkutano Mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Joshoni ikiwa ni uzinduzi wa kampeni kwa Kanda ya Serengeti.
Mgombea huyo wa Urais anaambatana na Mgombea Mwenza Salum Mwalimu na Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe
Sisi wa Molemo Media tumesafiri usiku kucha kutokea Mwanza na tupo hapa Shinyanga kuihabarisha dunia.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu ameingia Kanda ya Serengeti (Mara, Shinyanga & Simiyu) ambapo leo atakuwepo Shinyanga Mjini akiambatana na Mgombea-mwenza, Salum Mwalim pamoja na Mwenyekiti wa Chama hicho Freeman Mbowe
Picha zikionesha msafara wa Mgombea Urais wa JMT kwa Tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu tangu alipotua Uwanja wa Ndege wa Kahama leo asubuhi. Kisha kuanza safari ya kuelekea Shinyanga mjini ambapo alilazimika kusimama mara kadhaa sehemu mbalimbali kuwasalimia mamia ya wananchi waliosimama barabarani kuzuia msafara wakiomba awahutubie.
View attachment 1556431
View attachment 1556423
Nyomi ni Nyomi mura Chadema haijafaNamna hii mnategemea kushinda kweli?
View attachment 1556369
Cha Domo hawana aibu wamesuswa Sasa wanatafuta picha za lowasa wanazirusha,aibu walioipata mbagala bado inawatesa [emoji23][emoji1787][emoji2960]Angalia picha ya Lowasa 2015 msafara wake Sumbawanga picha ya pili toka mwisho ndio mumebandika kuwa ni msafara wa Tundu Lisu Shinyanga leo!!!!
LOWASA AVUNJA REKODI SUMBAWANGA MJINI
Cha Domo ni comedy,watanzania wamewasusa wamebaki kukodi bajaji na bodaboda [emoji16]huo ni msafara wa Lowasa 2015 nakupa na LINK HIYO HAPO JIONEE MWENYEWE utapeli wa CHADEMA kuweka picha ya sumbawanga na kuita mapokezi ya Lisu leo hiyo hapo jionee mwenyewe
LOWASA AVUNJA REKODI SUMBAWANGA MJINI
Maccm bwana wamerejesha picha za Ukawa ili ionekane kila inachopostiwa himu ni uongo.hiyo picha ni msafara wa Lowasa akiwa sumbawanga mwaka 2015 kwenye kampeni Chadema acheni usanii sio msafara wa leo wa Lisu huo!!
View attachment 1556346
Hao maaskari apo nani kawaita?Lissu ndani ya shyinyanga# ni yeye 2020View attachment 1556276
Katambi hashindi! Nyumbani kwangu mama ni CCM kindakindaki lakini jana anasema ubunge nitampa Salome Makamba! Kwisha habari yake!Katambi akimbizwa hospital ya mkoa baada kuugua ghafla
Mkuu inategemea unatumia usafiri gani? Nadhani umeshindwa kujiongezaMwanza, Shinyanga mnasafiri usiku kucha ?,pathetic!