Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Tundu Lissu (CHADEMA) na Mkutano Mkubwa wa hadhara Musoma Mjini

Ni zamu ya Musoma leo.

Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo.

Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa Sasa.

Tutawaletea yatakayojiriView attachment 1581133
Kama siyo population ndogo ya mji wa Musoma, Musoma leo ingelivunja rekodi zote zilizowekwa na mikoa mingine! Lakini ukichukulia ratiowise, basi kama kungelikuwa na uwezekano wa kuchukua data, MUsoma itavunja rekdi maana wakurya wanajitambua sana
 
Kama siyo population ndogo ya mji wa Musoma, Musoma leo ingelivunja rekodi zote zilizowekwa na mikoa mingine! Lakini ukichukulia ratiowise, basi kama kungelikuwa na uwezekano wa kuchukua data, MUsoma itavunja rekdi maana wakurya wanajitambua sana
Stay tuned
 
Kwa anavyo mdhalilishaga Mwalimu Nyerere wana Mara hawana hamu naye
We uko Dodoma unatusemea wana Mara..?

Tunamngoja kwa hamu.. huku magari ya Mwanza-Musoma leo hayatapata nafasi barabara itafungwa kwa umati mkubwa sana kama kawaida.
 
Leo naisi ndo jiwe atawekwa kwenye life support😂😂😂
 
NI YEYE ...!!! NI WAKATI WETU SASA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama siyo population ndogo ya mji wa Musoma, Musoma leo ingelivunja rekodi zote zilizowekwa na mikoa mingine! Lakini ukichukulia ratiowise, basi kama kungelikuwa na uwezekano wa kuchukua data, MUsoma itavunja rekdi maana wakurya wanajitambua sana
... wanakotokea mashujaa Heche, Matiko, na Bulaya tena kwa kura za wananchi unategemea ni watu wa kawaida hawa? Mara sio ya kitoto; is one of the pillars za ukombozi wa nchi hii toka enzi za Mwalimu.
 
1.Napiga magoti Kumshukuru Mungu kwa kutuletea mtetezi
2.Naona neema yaja kwa wakulima, watauza mazao yao popote watakapo sio AMKOS tena
3.Naona sheria ya kikokotoo a. k. a mstaafu kupangiwa matumiz inafutwa na na fao la kujitoa linakuja.
4.Watumishi wa umma kupata neema.
5.Haki na Uhuru waja
6.Elimu bora na wahitimu wake wenye uwezo wa kuajirika kimataifa waja.
7.Sheria iliyotungwa na maccm, sheria kandamizi ya urejeshwaji wa mikopo elimu ya juu kufutwa
8.Mahusiano kimataifa kurejeshwa
9.20 alfu za wajasiliamali kufutwa
10.Umoja wa kitaifa kurejeshwa
11.Katiba mpya yaja
12.kodi kandamizi kufutwa
 
Viva tundu lissu polepole anajuta huku🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • 2529704_Apandacho_mtu_ndicho_atakachovuna__268_X_480_.mp4
    370.1 KB
Ngome pekee ya Mgombea wa CCM aliyokuwa anatamba nayo ilikuwa mkoa wa Geita hata hivyo Lissu ameiteka ngome hiyo wiki hii kwa kupata mapokezi yanayobaki historia vizazi na vizazi
Hapa Geita tuna furaha sana kwa kuifuta CCM, Upendo Peneza na Husna wako mstari wa mbele sisi tumefyeka mizizi yote na anguko kuu ni 28
 
Lissu lazima azungumzie usumbufu wanaopata wananchi kwa kila mara kubadilisha Passport na Driver's licenses kama njia ya serikali kujipatia fedha!!! Ubadilishaji huu ni aina ya kodi kwa wananchi; hakuna sababu ya duplication ya passport na viatambulisho lukuki vikiwemo leseni za udereva, kitambulisho cha Taifa na kadi ya mpiga kura!!! Serikali makini ingevijumuisha hivyo vyote kwenye kitambulisho kimoja hivyo kuokoa mabillioni ya fedha ambazo zingetumika katika shuhuri nyingine za maendeleo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…