Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Aug 14, 2020 #121 jingalao said: Thread imeanza mapema ili ifikishe page nyingi. Huyo jamaa hauziki Click to expand... Hahahahahaha MATAGA nyie vichwa maji kweli
jingalao said: Thread imeanza mapema ili ifikishe page nyingi. Huyo jamaa hauziki Click to expand... Hahahahahaha MATAGA nyie vichwa maji kweli
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Aug 14, 2020 #122 Bulaya001 said: kweli CCM wameishiwa sera! mwaka huu mtaambia nini watu???? Click to expand... Ccm yetu sikivu ya ccm imeleta tetemeko na kuwaletea wana Arusha treni ya mwendokasi, nyie wapinzani mmeifanyia nini nchi hii ?
Bulaya001 said: kweli CCM wameishiwa sera! mwaka huu mtaambia nini watu???? Click to expand... Ccm yetu sikivu ya ccm imeleta tetemeko na kuwaletea wana Arusha treni ya mwendokasi, nyie wapinzani mmeifanyia nini nchi hii ?
S std vi JF-Expert Member Joined Jul 28, 2016 Posts 296 Reaction score 295 Aug 14, 2020 #123 mkombengwa said: Niko picnic free stress zone bado namsubiri...RAISI WANGU Click to expand... Salimia misambwanda yote ya hapo picnic bila kumsahau dogo mmoja mchoma nyama hapo
mkombengwa said: Niko picnic free stress zone bado namsubiri...RAISI WANGU Click to expand... Salimia misambwanda yote ya hapo picnic bila kumsahau dogo mmoja mchoma nyama hapo
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Aug 14, 2020 #124 mkombengwa said: Niko picnic free stress zone bado namsubiri...RAISI WANGU Click to expand... Rais wako ni Magufuli the Phd holder , achana na hayo maigizo ya wapinsani
mkombengwa said: Niko picnic free stress zone bado namsubiri...RAISI WANGU Click to expand... Rais wako ni Magufuli the Phd holder , achana na hayo maigizo ya wapinsani
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Aug 14, 2020 #125 jingalao said: Thread imeanza mapema ili ifikishe page nyingi. Huyo jamaa hauziki Click to expand... Jingalao wa Lumumba
jingalao said: Thread imeanza mapema ili ifikishe page nyingi. Huyo jamaa hauziki Click to expand... Jingalao wa Lumumba
M Molemo JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 14,620 Reaction score 13,358 Aug 14, 2020 Thread starter #126 Manjagata said: Jingalao wa Lumumba Click to expand... Ha haa haa
S senyaba Member Joined Mar 5, 2018 Posts 27 Reaction score 10 Aug 14, 2020 #127 Hakuna wa kujificha tar 28 Oct ni kuchagua kati ya wasaliti au wazalendo