G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo asubuhi Tundu Lissu amejikuta akikumbana na umati mkubwa wa wafuasi wa CHADEMA alipokuwa akitoka ndani ya hoteli alikofikia akiwa pamoja na mwenyekiti wa CHADEMA taifa Freeman Mbowe.
Msafara ndiyo unaanza kuelekea ofisi za Chama jimbo la Karatu ambapo upo pia umati mkubwa wa wanachama na wafuasi wa CHADEMA.
Msafara ndiyo unaanza kuelekea ofisi za Chama jimbo la Karatu ambapo upo pia umati mkubwa wa wanachama na wafuasi wa CHADEMA.