Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika wewe ni jingalaoThread imeanza mapema ili ifikishe page nyingi.Huyo jamaa hauziki
unakula vyombo asubuhi hii[emoji3] au umepoa tu[emoji41]Niko picnic free stress zone bado namsubiri...RAISI WANGU
Wataficha ktk jogooPicha la kutisha linaendelea, wale waliosema upinzani umekufa sijui wataficha wapi sura zao.
Acha wivu mkuuThread imeanza mapema ili ifikishe page nyingi.Huyo jamaa hauziki
Kitambo sana kiongozi kwema..
Sawa Subiri uoneThread imeanza mapema ili ifikishe page nyingi.Huyo jamaa hauziki
Chugastan home hawajawahi kuniangusha, naamini watachoma kila kitu cha sisiem!Ni Ijumaa tulivu.
Kama kawaida jiji la Arusha Kuna ubaridi asubuhi hii.Jiji likiwa katika hekaheka tangu Jana za Maandalizi ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu.
Kanda ya Kaskazini hususan Jiji la Arusha ni ngome Kuu ya Chadema na akitoa salaam za kunikaribisha jijini humo Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Godbless Lema alisema mapokezi ya Mgombea wao wa Urais yatazidi Kanda nyingine zote alizokwishatembelea.
Tayari Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe akiongozana na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu hapo Jana walimlaki Lissu maeneo ya mkoani Manyara tayari kuongozana naye kuingia Arusha leo.
He kweli jiji la Arusha litavunja rekodi leo? Tusubiri tuone.
Molemo Media imekwishawasili jijini Arusha kuwaletea moja kwa moja kitakachojiri katika mapokezi hayo ya kihistoria.
Karibuni...
Taarifa za hivi Punde
Ofisi za Chadema Kanda zachomwa Moto.
Kuna taarifa zilizotujia hivi Punde kwamba ofisi za Chadema Kanda ya Kaskazini zimechomwa Moto usiku wa kuamkia Leo na watu wasiojulikana.Hapa ndipo mgombea wa Urais Tundu Lissu alipaswa kupokelewa kwa ajili ya kudhaminiwa.Tunatarajia kupata taarifa kwa kina zaidi asubuhi hii kutoka kwa viongozi wa chama.
Taarifa ya Awali kutoka Ofisi ya Chama Arusha.
*TAARIFA YA AWALI*
Usiku wa leo, watu ambao hawajatambulika hadi sasa, wamevamia ofisi zetu za Chadema Kanda/Mkoa na Wilaya Arusha, wamechoma moto kwa petrol na kufanya uharibifu mwingine. Tumeshirikiana na jeshi la zimamoto, polisi na wadau wengine hadi sasa.
Taarifa zaidi zitatolewa.
*KATIBU WA MKOA ARUSHA*
*[Ijumaa, 14 Agosti 2020.]*
Thread imeanza mapema ili ifikishe page nyingi.Huyo jamaa hauziki
Mas qualquer que vocês fazem aos outros aí juro vão lhes paragar.Keep on selling the skin before you have caught the bear!
Utashitakiwa.Tutashitakiwa MIGA
CHADEMA imeshakufagaThread imeanza mapema ili ifikishe page nyingi.Huyo jamaa hauziki
Watu wa Arusha si wakuwa amini kihivyo. Wakati ule wa EL 2015 walimchanganya Mzee hayati Kingunge akaona umati mkubwa akajikuta anamuita atakaye kuwa Rais bora kabisa wa JMT kuwa ni nyapara barabara. Matokeo yake mzee wa watu akajifutia heshima yake yote aliyojijengea miongo kadhaa mbele ya jamaii ya Watanzamia.
Tayari nko maeneo ya Mianzini hapa na washkaji tukiwa tunafanya maandalizi ya kumpokea Rais wetu.
Viva CHADEMA, viva Tundu Lissu.
Hacha ufenenge we mbwa, tunajua walimuibia kura zake.
CHADEMA imeshakufaga