niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Watu wamechoma ofisi yao kutafuta kiki. Pumzi imewaishia mapema sana hawa jamaa. Sanduku la kura litawasaliti, hawataamini.CHADEMA imeshakufaga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wamechoma ofisi yao kutafuta kiki. Pumzi imewaishia mapema sana hawa jamaa. Sanduku la kura litawasaliti, hawataamini.CHADEMA imeshakufaga
Unajua wewe na nani? Huyo EL unayejifanya wakili wake wakusema kaibiwa kura yuko ccm karudi nyumbani na anamuomba JPM aendelee kutufinya zaidi kuleta nidhamu, maana serikali na wananchi tulibweteshwa kwa uzembe.
Kama hii ni kiki inaweza kuwalipa vibaya mno. Kama sio kiki huyo aliyefanya anazidi kuwatengenezea public attention badala ya kuwapoteza.Watu wamechoma ofisi yao kutafuta kiki. Pumzi imewaishia mapema sana hawa jamaa. Sanduku la kura litawasaliti, hawataamini.
Tusubiri wakati utasemaThread imeanza mapema ili ifikishe page nyingi.Huyo jamaa hauziki
Kambi popoteSasa atashukia ofisi gani
Wewe ni Akili kubwa sanaKama hii ni kiki inaweza kuwalipa vibaya mno. Kama sio kiki huyo aliyefanya anazidi kuwatengenezea public attention badala ya kuwapoteza.
Kma mliweza kujipiga risasi, kujilipua kwa bomu mtashindwa kuchoma ofisi zenu. Ikulu mtaisikia na kuisoma kwenye maandishiThread ikianza mapema ndio inakuwa na page nyingi? Hii ni akili au matope? Kwa taarifa yako kuna threads Zina miaka humu ndani na hazina hata page 3. Mkiambiwa ccm hamuwezi kujenga hoja muelewe. Na hili ni tatizo la kuanzia mwenyekiti wenu. Acheni hilo la kuchoma moto ofisi, ingieni kwenye hatua ya mauaji kwa wanacdm, ila iko wazi watu wanataka mabadiliko na bado hawajayapata.
Daa. Huku mbeleni itakuja tokea mtu jukwaani anapigwa risasi atharani hivi hiviKambi popote
Kma mliweza kujipiga risasi, kujilipua kwa bomu mtashindwa kuchoma ofisi zenu. Ikulu mtaisikia na kuisoma kwenye maandishi
Huko kwa Lowassa, Kalanga na Nassari!Karibu home bro TAL,huku ndipo ukombozi wa nchi unapoanzia
Kuweni makini Ndugu zangu sasa wasiojulikana wamekuja kivingine. Ila ninawafahamu haya majambazi ni ndata wa tanzania pingeni hapa lakini ukweli utajulikana tu! Akamatwe tu mmoja apigwe kiberiti!Ni Ijumaa tulivu.
Kama kawaida jiji la Arusha Kuna ubaridi asubuhi hii.Jiji likiwa katika hekaheka tangu Jana za Maandalizi ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu.
Kanda ya Kaskazini hususan Jiji la Arusha ni ngome Kuu ya Chadema na akitoa salaam za kunikaribisha jijini humo Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Godbless Lema alisema mapokezi ya Mgombea wao wa Urais yatazidi Kanda nyingine zote alizokwishatembelea.
Tayari Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe akiongozana na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu hapo Jana walimlaki Lissu maeneo ya mkoani Manyara tayari kuongozana naye kuingia Arusha leo.
He kweli jiji la Arusha litavunja rekodi leo? Tusubiri tuone.
Molemo Media imekwishawasili jijini Arusha kuwaletea moja kwa moja kitakachojiri katika mapokezi hayo ya kihistoria.
Karibuni...
Taarifa za hivi Punde
Ofisi za Chadema Kanda zachomwa Moto.
Kuna taarifa zilizotujia hivi Punde kwamba ofisi za Chadema Kanda ya Kaskazini zimechomwa Moto usiku wa kuamkia Leo na watu wasiojulikana.Hapa ndipo mgombea wa Urais Tundu Lissu alipaswa kupokelewa kwa ajili ya kudhaminiwa.Tunatarajia kupata taarifa kwa kina zaidi asubuhi hii kutoka kwa viongozi wa chama.
Taarifa ya Awali kutoka Ofisi ya Chama Arusha.
*TAARIFA YA AWALI*
Usiku wa leo, watu ambao hawajatambulika hadi sasa, wamevamia ofisi zetu za Chadema Kanda/Mkoa na Wilaya Arusha, wamechoma moto kwa petrol na kufanya uharibifu mwingine. Tumeshirikiana na jeshi la zimamoto, polisi na wadau wengine hadi sasa.
Taarifa zaidi zitatolewa.
*KATIBU WA MKOA ARUSHA*
*[Ijumaa, 14 Agosti 2020.]*
Katika Isaya 43:2, BWANA anasema....Ni Ijumaa tulivu.

...Ofisi ya mkuu wa mkoa...😂😂😂Sasa atashukia ofisi gani
mstari huu ni muhimu sana Tundu Lissu aukariri na kuutumia kwani ni very inspiring spiritually.Katika Isaya 43:2, BWANA anasema....
Upitapo katika maji mengi NITAKUWA PAMOJA NAWE ;
na katika mito, HAITAKUGHARIKISHA ;
uendapo katika moto, HUTATEKETEA;
wala mwali wa moto HAUTAKUUNGUZA.