Ni maeneo tofauti wewe kijani uwe na akili.Lissu anahangaika wajameni
Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
Leo lazima nihudhurie hapa Dodoma.
Wakufyekelewa mbali tunawajua, subirini muda wetu, ufike, huu ni wenu najua mnatumia hata mbeleko.Lissu anahangaika wajameni
Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
Lissu anahangaika wajameni
Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
Ni maeneo tofauti wewe kijani uwe na akili.
Manyoni na Itigi hakufanya mkutano bado.
Tatizo ni kaweka mbele ushabiki na tumbo.We jamaa unapingwa Sana humu sijui tatizo. Eti kijani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakufyekelewa mbali tunawajua, subirini muda wetu, ufike, huu ni wenu najua mnatumia hata mbeleko.
Halafu nawe unazidi kuhangaika nayeLissu anahangaika wajameni
Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
Ile ratiba si nyie mnaipanga?Lissu anahangaika wajameni
Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
Jimbo la mgonjwa ghali zaidi duniani aliyeingia kwenye vitabu vya kihistoriaMgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati.
Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai.
Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi yameandaliwa na wananchi wa Kongwa huku wengi wakiwa hawamtaki Job Ndugai aliyetumia hila kupitia Tume ya Uchaguzi kumuondoa mgombea wa CDM na kujipitisha bila kupingwa.
Ndugai anakumbukwa kwa kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kutibiwa alipopigwa Risasi na Kama vile haikutosha akamfukuza ubunge huku akiwa kalala kitandani akitibiwa.
Mara baada ya kutoka Kongwa Tundu Lissu ataingia Dodoma Mjini kumalizika kampeni zake kwa siku ya leo.
Hata hivyo mapema asubuhi hii kabla ya kuingia Kongwa Lissu anatarajiwa kufanya kampeni maeneo ya Manyoni na Bahi.
Huyu jamaa anatapatapa sana,anawaza akishinda itakuwaje?Lissu anahangaika wajameni
Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
Kwa maana hiyo hatafanya mikutano jimbo la Igalula na Manyoni Magharibi (Itigi)Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati.
Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai.
Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi yameandaliwa na wananchi wa Kongwa huku wengi wakiwa hawamtaki Job Ndugai aliyetumia hila kupitia Tume ya Uchaguzi kumuondoa mgombea wa CDM na kujipitisha bila kupingwa.
Ndugai anakumbukwa kwa kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kutibiwa alipopigwa Risasi na Kama vile haikutosha akamfukuza ubunge huku akiwa kalala kitandani akitibiwa.
Mara baada ya kutoka Kongwa Tundu Lissu ataingia Dodoma Mjini kumalizika kampeni zake kwa siku ya leo.
Hata hivyo mapema asubuhi hii kabla ya kuingia Kongwa Lissu anatarajiwa kufanya kampeni maeneo ya Manyoni na Bahi.
Heko kwake popote alipo!Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati.
Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai.
Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi yameandaliwa na wananchi wa Kongwa huku wengi wakiwa hawamtaki Job Ndugai aliyetumia hila kupitia Tume ya Uchaguzi kumuondoa mgombea wa CDM na kujipitisha bila kupingwa.
Ndugai anakumbukwa kwa kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kutibiwa alipopigwa Risasi na Kama vile haikutosha akamfukuza ubunge huku akiwa kalala kitandani akitibiwa.
Mara baada ya kutoka Kongwa Tundu Lissu ataingia Dodoma Mjini kumalizika kampeni zake kwa siku ya leo.
Hata hivyo mapema asubuhi hii kabla ya kuingia Kongwa Lissu anatarajiwa kufanya kampeni maeneo ya Manyoni na Bahi.
Huyu jamaa anatapatapa sana,anawaza akishinda itakuwaje?
"Ngoja tuonyeshane makali tutelewana tu" Dr shikaKura yako ni sawa na kuweka sukari ziwa victoria ukitegemea utakunywa chai[emoji3]
Ndio shida ya misukule ya lumumba imekaririshwa na chakubangaNi maeneo tofauti wewe kijani uwe na akili.