Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Kivumbi Dodoma...Mh. Lissu aizidi kukaza spana!


One Love! One Heart!
Let's get together and feel all right
Hear the children cryin' (One Love!)
Hear the children cryin' (One Heart!)
Sayin': give thanks and praise to the Lord and I will feel all right
Sayin': let's get together and feel all right. Wo wo-wo wo-wo!​
 
Inahitaji chama makini chenye misingi imara kushindana na chama tawala na kuamini kwamba watachukua dola
Hii chadema ina miaka 28 na nusu lakini naona kama upinzani umeanza mwezi wa August

28102020***
29102020****
30102020*****
Umeandika utolopo ndio maana hata comment moja hujapata!! uwe unafikiria Kwanza!! pili lazima ujue watu wanataka nn? wape wanachotaka!!
 
Shekhe Ponda kapiga msumari wa mwisho kwenye jeneza la CCM.."Waislamu tusipompa kura Lissu dua zetu hazitajibiwa "
 
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati.

Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai.

Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi yameandaliwa na wananchi wa Kongwa huku wengi wakiwa hawamtaki Job Ndugai aliyetumia hila kupitia Tume ya Uchaguzi kumuondoa mgombea wa CHADEMA na kujipitisha bila kupingwa.

Ndugai anakumbukwa kwa kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kutibiwa alipopigwa Risasi na Kama vile haikutosha akamfukuza ubunge huku akiwa kalala kitandani akitibiwa.

Mara baada ya kutoka Kongwa Tundu Lissu ataingia Dodoma Mjini kumalizika kampeni zake kwa siku ya leo.

Hata hivyo mapema asubuhi hii kabla ya kuingia Kongwa Lissu anatarajiwa kufanya kampeni maeneo ya Manyoni na Bahi.

=========

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amewataka wananchi kwenda kupiga kura Oktoba 28 ili kuuondoa madarakani utawala wa CCM uliodumu tangu Tanzania ipate uhuru.

Lissu ameyasema hayo leo, Oktoba 17 zikiwa zimebaki siku 10 tu kabla ya siku ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 28. Ameyasema hayo kwenye mkutano wake wa kampeni uliofanyika wilayani Manyoni akielekea Kongwa halafu Dodoma mjini.

Mgombea huyo amesema uchaguzi wa mwaka huu ni muhimu kuliko wakati wowote kwa sababu utaundaSerikali itakayolinda uhuru, haki na maendeleo ya watu.

"Katika hizi siku 10 zilizobaki, hakikisheni mnahamasishana kwenda kupiga kura ili mfanye mabadiliko ya utawala wa nchi yenu," amesema mgombea huyo.

Lissu amewataka wananchi wakapige kura kuchagua uhuru wa kuwasema viongozi waliowachagua na kuwakosoa pale wanapokosea.
Tupo chako ni chako tunakeng'eta kuku wa kienyeji kwa Serengeti lite tukimsubiri Mhe LISSU Leo. Ni YEYE 2020.
 
Hii ni moja ya kauli niyoweza kuiita ni kauli ya kishujaa kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Dodoma jana kwani ni wanasiasa wachache sana wenye ujasiri wa kutamka maneno kama hayo katika nchi yetu.

Lissu ametoa kauli hiyo akijibu matamshi ya Mgombea Mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu kuwa wao ndio wataunda serikali hata kama watu watampigia kura upinzani.

CCM mtamkumbuka sana Lowassa aliekuwa na kauli za upole mwaka 2015 licha ya kuwa na viashiria vyote vya kushinda Uchaguzi Mkuu ule.
 
Sasaaaaa....Sasaaaaa...nisikilizeni basi.
Saaasaaa..Saaaasa..😂.
Kuna ng'ombe mmoja yy kazi kusema niletee gwajimaaa
Niletee gwajimaaaaaa
Niletee gwajimaaaa....

Nadhani analenga mambo mawili...
1. Kuendeleza ajenga ya kuratibu ukabila
2. Kusuguliwa km anavyopenda kusuguliwa
 
Back
Top Bottom