Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Ukweli ndio huo na wanachama pekee wa ccm wenye kadi ni wengi kuliko wa chadema ,pili ccm tayar ina madiwani na wabunge waliopita bila kupingwa na ikiwa chadema na Zambarau walisema watapita nchi nzima kusema ili watu wao warudishwe ila ni wachache tu ndio waliorudi yaani hapa nazungumzia madiwani na wabunge tu vipi iwe kwa Rais kwamba chadema ishinde inaanzaje kwa mfano haina hata mtaji wa wabunge ni kichekesho cha karne katika miaka ya chaguzi hii ni nyepesi kuliko hata za Nccr ya Mrema,Dr Slaa na Lowassa huu wa sasa Lissu kawa mpinzani kwa kusemewa Twitter na JF ila kiuhalisia jamaa atashindwa vibaya sana.

Mf. 2015 Ccm m8 na Chadema m6 na hapo Ccm ilikuwa na asilimia 59 nadhani ila chadema 39 na jamaa alikuwa nyoko kweli hata mimi nilimpigia Lowassa maana kipindi hicho ccm ilikuwa imechokwa vibaya sana na hao waliungana wote yani sasa iwe leo tena kwa ushuzi wa ubelgiji .
Bro utaona jamaa atakavyochakazwa mimi kuna watu kabisa wameichoka ccm ila wanasema mgombea wa ubunge atakosa ila Raisi watampa Magu hiyo ndio hali halisi huku nilipo ila JF na Twitter mshindi ni Tundu wa Amstadam.
Ukiandika ujinga, jitaidi iwe kwa ufupi.
 
Dodoma Mbukwenyiiiii!

Leo Jioni, tarehe 17, Oct 2020 Mgombea Urais JMT kwa tiketi ya Chadema Mh. Tundu Antipas Lissu, Amesimamisha shughuli za Jiji la Dodoma baada ya maelfu ya wakazi kumlaki.

Ujio wake umenogeshwa zaidi na kuwepo kwa Sheikh Ponda, ambaye alipata nafasi kuwasalimu wakazi wa Dodoma kwenye mkutano.

Wakazi wa Jiji hili ambalo ni ngome ya CCM wameonesha hisia Kali kwa LISSU, wameenda mbali hadi kumchangia kwenye shughuli za kampeni.

Hii imekuwa kinyume na matarajio ya watu wengi kwani ngome kuu ya CCM ni Dodoma.

Tupate picha na video za matukio chini.
 


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20201017_190832.jpg
Robert ameoa watu wangapi Mbona anataka kumliza baby L ?
 
Robert ameoa watu wangapi Mbona anataka kumliza baby L ?
Hhahha kidagaa kimewakaba ssa hivi mnaokoteza machapisho yenu ya kipuuzi tu..


Liberez[emoji3577][emoji2535][emoji3577][emoji2535][emoji1][emoji1]
20201017_190832.jpg
 
KWA MAENDELEO YA KWELI
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#Magufuli5Tena

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
KWA MAENDELEO YA KWELI
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#Magufuli5Tena

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati.

Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai.

Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi yameandaliwa na wananchi wa Kongwa huku wengi wakiwa hawamtaki Job Ndugai aliyetumia hila kupitia Tume ya Uchaguzi kumuondoa mgombea wa CDM na kujipitisha bila kupingwa.

Ndugai anakumbukwa kwa kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kutibiwa alipopigwa Risasi na Kama vile haikutosha akamfukuza ubunge huku akiwa kalala kitandani akitibiwa.

Mara baada ya kutoka Kongwa Tundu Lissu ataingia Dodoma Mjini kumalizika kampeni zake kwa siku ya leo.

Hata hivyo mapema asubuhi hii kabla ya kuingia Kongwa Lissu anatarajiwa kufanya kampeni maeneo ya Manyoni na Bahi.

=========

Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema, Tundu Lissu amewataka wananchi kwenda kupiga kura Oktoba 28 ili kuuondoa madarakani utawala wa CCM uliodumu tangu Tanzania ipate uhuru.

Lissu ameyasema hayo leo, Oktoba 17 zikiwa zimebaki siku 10 tu kabla ya siku ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 28. Ameyasema hayo kwenye mkutano wake wa kampeni uliofanyika wilayani Manyoni akielekea Kongwa halafu Dodoma mjini.

Mgombea huyo amesema uchaguzi wa mwaka huu ni muhimu kuliko wakati wowote kwa sababu utaundaSerikali itakayolinda uhuru, haki na maendeleo ya watu.

"Katika hizi siku 10 zilizobaki, hakikisheni mnahamasishana kwenda kupiga kura ili mfanye mabadiliko ya utawala wa nchi yenu," amesema mgombea huyo.

Lissu amewataka wananchi wakapige kura kuchagua uhuru wa kuwasema viongozi waliowachagua na kuwakosoa pale wanapokosea.
Msukule huo, ni lazima watu wajae kumshangaa. ile kitu mtaipaata hamtakaa muamini.
 
KWA MAENDELEO YA KWELI
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#Magufuli5Tena
We jamaa unapingwa Sana humu sijui tatizo. Eti kijani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom