Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Robert ameoa watu wangapi Mbona anataka kumliza baby L ?View attachment 1603329
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20201017_194750.jpg
 
Hilo unaalijua wewe kinyarahanga shabiki wa mitandaoni, Ila mwenzako anahaha kwelikweli ndomaana anarudiarudia kupita sehemu ambazo ameshapita zamani, Kanda ya ziwa karudi kama Mara tatu, na najua atarudi tena Mara ya nne ila kura hatapata.
Unaijua Kanda ya ziwa au unaropokwa tu?
Awamu hii Kanda ya ziwa ni Lisu tu
 
Unaijua Kanda ya ziwa au unaropokwa tu?
Awamu hii Kanda ya ziwa ni Lisu tu
Wewe ndo unataka tubishane kuhusu Kanda ya ziwa? Achana na kanda ya ziwa, hata huko uliko wewe bila msaada wa Jf napajua vizuri na mapema tu kuliko hata unavyofikiria.

Nyie vijana tafuteni kazi mfanye, muondokane na umasikini unaowafanya mkae vijiweni kulalamikia utawala. Lissu hawezi kushinda huu uchaguzi labda kuku waanze kukojoa.
 
Mgombea wa Kiti Cha Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu amemaliza mzunguko wake wa 3 kwa ufanisi mkubwa sana! Dodoma imezizima kuashiria ya kwamba CCM watakuwa na hali ngumu sana hapo tarehe 28/10/2020!!

Kama hakutakuwa na msaada toka NEC na POLISI wa kuhujumu Uchaguzi huu basi CCM watapata taabu sana kupata ushindi!!!

Twende na TAL-2020 anatosha.
 
Back
Top Bottom