Ukweli ndio huo na wanachama pekee wa ccm wenye kadi ni wengi kuliko wa chadema ,pili ccm tayar ina madiwani na wabunge waliopita bila kupingwa na ikiwa chadema na Zambarau walisema watapita nchi nzima kusema ili watu wao warudishwe ila ni wachache tu ndio waliorudi yaani hapa nazungumzia madiwani na wabunge tu vipi iwe kwa Rais kwamba chadema ishinde inaanzaje kwa mfano haina hata mtaji wa wabunge ni kichekesho cha karne katika miaka ya chaguzi hii ni nyepesi kuliko hata za Nccr ya Mrema,Dr Slaa na Lowassa huu wa sasa Lissu kawa mpinzani kwa kusemewa Twitter na JF ila kiuhalisia jamaa atashindwa vibaya sana.
Mf. 2015 Ccm m8 na Chadema m6 na hapo Ccm ilikuwa na asilimia 59 nadhani ila chadema 39 na jamaa alikuwa nyoko kweli hata mimi nilimpigia Lowassa maana kipindi hicho ccm ilikuwa imechokwa vibaya sana na hao waliungana wote yani sasa iwe leo tena kwa ushuzi wa ubelgiji .
Bro utaona jamaa atakavyochakazwa mimi kuna watu kabisa wameichoka ccm ila wanasema mgombea wa ubunge atakosa ila Raisi watampa Magu hiyo ndio hali halisi huku nilipo ila JF na Twitter mshindi ni Tundu wa Amstadam.