Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Mbelgiji lissu anataka kutuletea mambo machafu
Naona tobo lako linawasha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona tobo lako linawasha
Hii inaitwa acrobat campaign inahitaji akili kubwa kumuelewa Lissu na aina hii ya kampeni.Lissu anahangaika wajameni
Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
Hii inaitwa acrobat campaign inahitaji akili kubwa kumuelewa Lissu na aina hii ya kampeni.
Ally Bananga and Amani Golugwa are the strategists guys ever in chadema.
Huwezi kuzungumza mafanikio ya Lissu katika kampeni hizi bila kuwayaja hao jamaa wawili.
Wanatetewa na mbeligiji Mkuu
Lazima awatie pressure kwasababu ataichukua nchi Kama yalivyo matamanio yenu😂.Yeye, jiwe, bashiri, majaliwa, chaku ma lb7 na wenzao wote wako kwenye hali hiyo hiyo mkuu.
Pressure ya damu iko juu! Angalau 150/110.
Hypertension - wa kulazwa!
Nyie subirini kura zipigwe,mtabaki midomo wazi.Na hili hata mgombea wenu analijua ndomaana anarudiarudia mikoa ambayo tayari ameshapita, anaijua hali halisi tofauti na nyinyi mnaoshabikia tu huku mitandaoni.Sasa unajulikana kwa namna gani?
Uliza mtwara&lindi wanamjua Jiwe kwa lipi.
Huyu sio Lowassa Ndugu!Nyie subirini kura zipigwe,mtabaki midomo wazi.Na hili hata mgombea wenu analijua ndomaana anarudiarudia mikoa ambayo tayari ameshapita, anaijua hali halisi tofauti na nyinyi mnaoshabikia tu huku mitandaoni.
Kwakuwa aliwahi kukusugua au? Maana naona umekomaa Sana na hiyo statement. Napata wasiwasi huenda umetumwa kutafuta wenzako watakao kubali kusuguliwa na Sugu ili muwe wengi. Na kama si hivuo, wewe unamsemea Sugu kama nani?Sugu yuko tayari kumsugua Magufuli kama alivyoomba...
Hilo unaalijua wewe kinyarahanga shabiki wa mitandaoni, Ila mwenzako anahaha kwelikweli ndomaana anarudiarudia kupita sehemu ambazo ameshapita zamani, Kanda ya ziwa karudi kama Mara tatu, na najua atarudi tena Mara ya nne ila kura hatapata.Huyu sio Lowassa Ndugu!
Mtatapika damu mbichi.
Zanzibar Maalim Seif
Bara Tundu Lissu.
Hatutaki UKHANITHI.
Nani sasa anahaha?[emoji23][emoji23]Hilo unaalijua wewe kinyarahanga shabiki wa mitandaoni, Ila mwenzako anahaha kwelikweli ndomaana anarudiarudia kupita sehemu ambazo ameshapita zamani, Kanda ya ziwa karudi kama Mara tatu, na najua atarudi tena Mara ya nne ila kura hatapata.
Mwingine hotuba nzima hana cha kuongea zaidi ya kusemaNani sasa anahaha?[emoji23][emoji23]
Mwenzako anapandisha hadi mashetani.
Nileteniiii Gwajimaaaàaaa!
Kutwa anatembea na fiesta.
Tunampakia akapumzike kijijini kwao.
Kamshindilia nondo jiwe hadi kalegea anaomba kusuguliwa[emoji23][emoji23]Mwingine hotuba nzima hana cha kuongea zaidi ya kusema
Saaasa... Saaasa.. sasaaaaa..[emoji23].
Tunasubiri uchaguzi uishe tuone kama atabaki, lazima atimke tu.
Saaaasa...sasaaaaaa 😂.Afu nasikia saivi jamaa ni hanisi sijui ni ukweli😳?Hebu watu wake wa karibu mtujuze.Kamshindilia nondo jiwe hadi kalegea anaomba kusuguliwa[emoji23][emoji23]
Mtaona rangi zote.
Nasikia jamaa yenu anasuguliwa na Sugu kashindwa kuvumilia kapayuka hadharani, Kweli?[emoji23][emoji23]Saaaasa...sasaaaaaa [emoji23].Afu nasikia saivi jamaa ni hanisi sijui ni ukweli[emoji15]?Hebu watu wake wa karibu mtujuze.
Kwahiyo Lissu ni hanisi😳?Nasikia jamaa yenu anasuguliwa na Sugu kashindwa kuvumilia kapayuka hadharani, Kweli?[emoji23][emoji23]
Dodoma asahau.hivi kwa akili ya kawaida tu unadhani watu wa dodoma watamchagua au.
Chunga kauli bro.Jiwe ni bwabwa?
Nimesoma upuuzi ulioandika nikashangaa sasa hapo chini kuna watu wameusapoti upoloto huo. Nikajiuliza na nani hao?Lissu anahangaika wajameni
Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
Kutana na hali halisiHakuna Uchaguzi rahisi kama huu Mkuu ushindi ni 98%
October 28 unachukua unaweka waaa kwa Rais Magufuli na Ccm