Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Tundu Lissu ana nini lakini?

Mbona wenzake wanachoka yeye anazidi kuchanja mbuga hivi?

Anakera kama nini huyu, kutaka watu waanguke na mapressure.[emoji23][emoji23]
Hahahahahahaaaaa wanifurahisha mieeeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji1][emoji123][emoji123][emoji123][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
Hahahahahahaaaaa wanifurahisha mieeeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1][emoji1][emoji1][emoji123][emoji123][emoji123][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Nileteeeeni Gwajimaaaaaaaa![emoji23][emoji23]

Hakika Lissu kaleta maafa makubwa watu wanawehuka majukwaani.
 

Mkuu sana Kabikula jana nilicheka nusu nipaliwe na mate.
Although Mzee wangu alisema kwa kiingereza mimi nitamtafsiri kwa kiswahili ' alisema Kuwa watu wengi mkutanoni sio lazima wakupigie kura.

Mkiwa watu wawili mmoja kapeleka mbuzi mnadani na mwingine akabeba nyani kwenda mnadani, wakati mkiwa mnadani watu wengi sana wataenda kumuona nyani, lakini wakati wa kuondoka watanunua mbuzi ambaye ndio nia halisi ya kwenda mnadani na kuondoka nae mbuzi.

Mwenye nyani watamuacha na nyani wake kwa kuwa walienda kwenye mnada wa mbuzi waka mkuta mtu kaleta nyani.

Mahala panauzwa mbuzi wewe unapeleka nyani.
 
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati.

Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai.

Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi yameandaliwa na wananchi wa Kongwa huku wengi wakiwa hawamtaki Job Ndugai aliyetumia hila kupitia Tume ya Uchaguzi kumuondoa mgombea wa CDM na kujipitisha bila kupingwa.

Ndugai anakumbukwa kwa kumnyima Tundu Lissu haki yake ya kutibiwa alipopigwa Risasi na Kama vile haikutosha akamfukuza ubunge huku akiwa kalala kitandani akitibiwa.

Mara baada ya kutoka Kongwa Tundu Lissu ataingia Dodoma Mjini kumalizika kampeni zake kwa siku ya leo.

Hata hivyo mapema asubuhi hii kabla ya kuingia Kongwa Lissu anatarajiwa kufanya kampeni maeneo ya Manyoni na Bahi.
Namtakia kila la heri.Mwenyezi Mungu atusaidie tuondokane na manyanyaso ya utawala huu.
Nawaombeni,viongozi wenu,kuanzia ngazi ya Chama ni msingi na wanachama wenu waaminifu wawe mawakala nchi nzima.Kuna mapandikizi mengi sana.Ushindi ni mkubwa mno mkifanikiwa kuweka mawakala WAAMINIFU angalao kwa asilimia 75 nchi nzima.
 
Back
Top Bottom