Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Lissu anahangaika wajameni

Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
Yule wako kaenda maeneo mangapi mpaka leo manake Moshi hatujamwona kabisaaaa au atapigiwa kura na mabango na mapicha mliobandika kila chocho kama ndio hivyo basi sawa sisi tutampigia Lissu wengine mabango yatampigia
 
We jamaa unapingwa Sana humu sijui tatizo. Eti kijani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1602921527214.png


huu mwaka mtam sana
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Ndio mnajidanganya mkivuta bangi
Tulia kimya ndio kwanza pana karibia kupambazoka mwaka huu akili zitawakaa sawa ole ole ole wenu muibe kura tutatangulia kwa pamoja mbinguni
 
Inahitaji chama makini chenye misingi imara kushindana na chama tawala na kuamini kwamba watachukua dola
Hii chadema ina miaka 28 na nusu lakini naona kama upinzani umeanza mwezi wa August

28102020***
29102020****
30102020*****
 
Jamaa anazunguka mikoa ile ile hana jipya.
 
Ratiba inapwangwa na NEC ya CCM. Haipangwi na TL. Ukiona hivyo ujue ni mpango wa Mahera dhidi ya TL.
Lissu anahangaika wajameni

Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
 
Heko kwake popote alipo!

Dua njema tunamuombea

Ameonesha nguvu na matumaini makubwa.

Tunakuombea nguvu na afya njema
Uendelee kuonesha njia na utetezi wa haki.

Nadhani hukukosea kusomea sheria.

Hukukosea kutoa uhai wako ukitetea haki.

Mwenyezi Mungu awe pamoja nawe
Akuongoze kwa mazuri daima.

Akubadilishe penye mapungufu.

Hakika ni dua langu na yeyote anayependa haki sawa kwa watanzania wote.

Amin



Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Amen
 
Back
Top Bottom