Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

We jamaa unapingwa Sana humu sijui tatizo. Eti kijani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Keyboard zinavyofanya kazi JF zingekuwa ndo kura Ufipani ingekuwa sherehe. Lakini kitaani kila anapopita akiondoka watu wanaanza kujadili Chadema Sera yao ni Ipi, Yaani mumewavuluga kabisa watu. Bora hata Hashimu Rungwe anasera ya Ubwabwa
 
Waulize walio katika inner circle watakwambia hali ilivyo Mkuu. Ni Surprise ya aina yake, dalili sio nzuri
Inner circle ipi ? mnatiana ujinga tu usio na kichwa wala miguu nyinyi wajinga wa chadema.Kwa akili zenu ndogo na fupi mnajipa moyo kabisa kwamba huyo mtu wenu anaweza kushinda huu uchaguzi ?

Na hizo dalili zako ambazo unasema sio nzuri ,hakuna kitu kama hicho lakini kwa uwezo wenu mdogo wa kufikiri mnaaminishwa hivyo ili muweze kuendelea kupayuka.Haya yalikuwepo hata 2015 ,maneno mengi kuliko ukweli wa mambo.

Mlikodi mpaka genge la wahalifu wa kimtandao ili kutafuta ushindi lakini nchi ilikuwa macho na likasambaratishwaa.Ni kweli mnajitahidi sana humu mtandaoni kwa kuwa mnalipwa lakini mtaaibika sana baada ya matokeo na sijui mtaweka sura zenu wapi.Mwenzenu huyo hana tatizo,yeye atarudi kwao.
 
Hata KANU kilikuwa chama kikuu leo ni sawa na TLP
 
Bora uendelee kujifariji kwani ugali unaupatia hapo,Hali ndio iko hivo achilia mbali taarifa unazosemea.
 
Bila hata kampeni tu kila mtz anamgombea wake kadri alivyoumizwa au anavyonufaika, kampeni zimetupotezea mda kila mtz tyr anajua atamchagua nani.
 
  • Thanks
Reactions: mij
Wakati serikali ina hamasisha watu waende kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wasiende kujiandikisha mbaka ipatikane katiba Mpya. Chakushangaza baada ya matokeo wata lalamika wameibiwa kura.
Aliekuambia waliojiandikisha wote ni ccm nani?
 
Hakuna Uchaguzi rahisi kama huu Mkuu

October unachukua unaweka waaa kwa kwa Rais Magufuli na Ccm
[emoji23][emoji23][emoji23]

Chama cha mabango bhana.

Angepiga magoti kuomba kura?

Ana hali tete mgombea wenu hadi hataki kwenda Lindi , mtwara.

Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Uchaguzi rahisi kama huu Mkuu ushindi ni 98%

October 28 unachukua unaweka waaa kwa Rais Magufuli na Ccm
Ungekuwa raisi magufuli asingeparamia vumbi kula njombe kupiga magoti kama njiwa na kupiga mapambio kwa kuparaza sauti kaa kunguru mgumu. Na lazima afurumushwe kuondolewa ikulu
 
SALAAM ZA GWAJIMA KUTOKA MWISHO WA RELI.
1. Ulituaidi Chuo Cha Marubani hukutimiza.
2. Uliaidi kujenga Chuo Cha Biblia, hukutimiza.
3. Uliaidi kujenga Hospitali Kata ya Salasala, hukutimiza Hilo.
4. Uliaidi kumfufua Amina Chifupa, Hukutimiza pia.
5. Uliaidi kugeuza Misikiti kuwa Sunday schools, Hujatimiza.
6. Umeshindwa kulipia semitrailer mbili bandalini (90Mil.)
7. Ulituaidi na ukatutaka kuchanga fedha za kuanzisha TV lkn hujatimiza.
8. Ulituaidi na kutuchangisha fedha za kuanzisha Radio, lkn hujatimiza.
9. Ulituuzia viwanja (2015) kule Kiluvya (Mwanakondoo), lkn mpaka Leo hujatupatia.
10. Ulituaidi kuleta ndege 12 za abiria, lkn hujatimiza.
11. Ulituaidi treni ya umeme lkn hujatimiza.
12. Ulituaidi lujenga kanisa lenye uwezo wa Kubeba watu 250,000 kwa ibada moja, lkn hujatimiza na bado tuko chini ya mabati.
13. Leo unatuaidi kwenye kampeni kuwapeleka wananchi wa Kawe Marekani[emoji328][emoji328][emoji328][emoji328], Askofu! Askofu! Askofu! Mungu anakuona ujue.....dhambiya Uongo ni ya shetani mwenyewe kabisa.
14. Aidha, bado tunakumbuka juu ya ile video. Maana mwenendo wako baada ya ile video umebadilika Sana, ijapokuwa bado hatuamini Kama Kuna mahusiano.
Embu tuachie Kawe yetu bana...
Hii Checklist angepewa Halima James Mdee Ili ahangaike nayo atakaporejea Jukwaani.
 
Ndio mnavyojidanganya mkishavuta bangi

Back
Top Bottom