Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

Aisee mimi najiamini ni mchapa kazi sana. Kuna wakati nachapa kazi 48hrs mfululizo bila kulala wala kupumzika lakini huyu Mwamba nimemvukia kofia aisee.

Khaa!!
Mkuu Lissu habari ingine fikiria jana tu alikua Urambo huko leo pamoja na maeneo mengine atakua Kongwa, TL kashaamua kazi kazi he never get tired Mungu amsimamie
 
Lissu anahangaika wajameni

Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali

Hivi Kongwa au Dodoma mjini ni wilaya zipi ya Singida?

Au ni makopo tu kuwa bado hayajamalizika mitaani?
 
Hakuna Uchaguzi rahisi kama huu Mkuu ushindi ni 98%

October 28 unachukua unaweka waaa kwa Rais Magufuli na Ccm
Sidhani upo sahihi au statistics nimgogoro ukijanini... 2015 chupuchupu alinusurika kwa mzee gobole tuu Lowassa kwasababu ya bao la mkono kwasasa nijino kwa jino Magu kupata 20% uchaguzi huru na haki basi nyie wote inzi cha kijani ufalme wababa mutauona.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Ndio mnajidanganya mkivuta bangi
Sidhani upo sahihi au statistics nimgogoro ukijanini... 2015 chupuchupu alinusurika kwa mzee gobole tuu Lowassa kwasababu ya bao la mkono kwasasa nijino kwa jino Magu kupata 20% uchaguzi huru na haki basi nyie wote inzi cha kijani ufalme wababa mutauona.
 
Huyu jamaa anatapatapa sana,anawaza akishinda itakuwaje?

Yeye, jiwe, bashiri, majaliwa, chaku ma lb7 na wenzao wote wako kwenye hali hiyo hiyo mkuu.

Pressure ya damu iko juu! Angalau 150/110.

Hypertension - wa kulazwa!
 
Wakati serikali ina hamasisha watu waende kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wasiende kujiandikisha mbaka ipatikane katiba Mpya. Chakushangaza baada ya matokeo wata lalamika wameibiwa kura.
Ukweli ndio huo na wanachama pekee wa ccm wenye kadi ni wengi kuliko wa chadema ,pili ccm tayar ina madiwani na wabunge waliopita bila kupingwa na ikiwa chadema na Zambarau walisema watapita nchi nzima kusema ili watu wao warudishwe ila ni wachache tu ndio waliorudi yaani hapa nazungumzia madiwani na wabunge tu vipi iwe kwa Rais kwamba chadema ishinde inaanzaje kwa mfano haina hata mtaji wa wabunge ni kichekesho cha karne katika miaka ya chaguzi hii ni nyepesi kuliko hata za Nccr ya Mrema,Dr Slaa na Lowassa huu wa sasa Lissu kawa mpinzani kwa kusemewa Twitter na JF ila kiuhalisia jamaa atashindwa vibaya sana.

Mf. 2015 Ccm m8 na Chadema m6 na hapo Ccm ilikuwa na asilimia 59 nadhani ila chadema 39 na jamaa alikuwa nyoko kweli hata mimi nilimpigia Lowassa maana kipindi hicho ccm ilikuwa imechokwa vibaya sana na hao waliungana wote yani sasa iwe leo tena kwa ushuzi wa ubelgiji .
Bro utaona jamaa atakavyochakazwa mimi kuna watu kabisa wameichoka ccm ila wanasema mgombea wa ubunge atakosa ila Raisi watampa Magu hiyo ndio hali halisi huku nilipo ila JF na Twitter mshindi ni Tundu wa Amstadam.
 
Hii ratiba ya Lisu vp ,anapita pita huko Dom Mara kwa Mara wakati Hana wapigakura wa maana,Kwa nn asipeleke nguvu kubwa Kanda ya Nyasa na Kusini maana eneo Kama Songea au Lindi na Mtwara hajafika wakati Kuna potential kubwa kuliko huko kwa wagogo wasioelewa?
Afu hizi ratiba hazina maana maana yule wa gereji huwa hafuati na hachukuliwi hatua
Hajafanya kampeni kwenye majimbo mengi ya dodoma

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kura yako ni sawa na kuweka sukari ziwa victoria ukitegemea utakunywa chai[emoji3]
Hii ndo sampuli ya akili ya wabunge wa maccm, alafu mheshimiwa Samia Suruhu anaweza ku-like comment kama hii.
 
Lissu anahangaika wajameni

Mbona anaenda singida kila siku, hawaamini ndugu zake ? Anajua watamfyekelea mbali
Unapaswa kushangaa mbona anaenda Chato kila siku na kanda ya ziwa yote anapokelewa kifalme. Lissu ni mtu wa pekee na atawatesa mno na magoti mtapiga sana mwaka huu.
 
Hakuna Uchaguzi rahisi kama huu Mkuu

October 28 unachukua unaweka waaa kwa kwa Rais Magufuli na Ccm
Unapaswa kushangaa mbona anaenda Chato kila siku na kanda ya ziwa yote anapokelewa kifalme. Lissu ni mtu wa pekee na atawatesa mno na magoti mtapiga sana mwaka huu.
 
Back
Top Bottom