Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

Hujuma zishaanza haka kamama karefarii kanawahujumu simba
 
Safi Refa kwa kutoa Nyekundu...!
 
Imekuwaje mechi ngumu km hii wakampangia m dada kuchezesha
 
Hahaa.. Simba mtajinyea leo.
 
Hivi hakuna mipira ya wanawake ya kwenda kuchezesha mpaka uchezeshe Yanga na Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…