Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi unasemaje?Ona wachezaji wenu wameshaanza kupanic hadi red imetembea.Hahahaaa wewe yebo leo lazma ukae tu
Hahahahahaaa tulia mkia wewe,mtaipata dawa yenu leo.Hujuma zishaanza haka kamama karefarii kanawahujumu simba
simba wananyooshwa....leoHahahahahaaa tulia mkia wewe,mtaipata dawa yenu leo.
Huyu mama kaniudhi hatari,sasa ndo nini
Hahahah, ushaanza kuonyesha upo upande ganiHuyu mama kaniudhi hatari,sasa ndo nini
Labda msaidiwe na refarii lakini bado simba itashindaHahahahahaaa tulia mkia wewe,mtaipata dawa yenu leo.