Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

Yanga yanga yanga yanga yanga yanga yanga yanga
 
Simba tumeshampiga cha fasta kwa sasa tunatafuta cha pili
 
Huyu refa leo hatoki hapo uwanjani, ile kadi nyekundu sio
 
Nitawaona mashabiki wa Simba wapumbavu kama watamlaumu refa,goli lile ni la uzembe wa kipa na mwenzie...
Ngoma kiulaaaiiiini katia mpira wavuni.
Dadadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…