Ingekependeza zaidi kama vyombo vyetu vya habari navyo vikampa coverage walau ya nusu ya Mwenyekiti wa chama chetu, ili tuweze kuona na kupima kiuhalisia nguvu zetu CCM!Hiyo ndio maana ya game changer.
Ufalme umepewa wengineMene mene tekel na peresi
Ingekependeza zaidi kama vyombo vyetu vya habari navyo vikampa coverage walau ya nusu ya Mwenyekiti wa chama chetu, ili tuweze kuona na kupima kiuhalisia nguvu zetu CCM!
Amina mkuuMungu endelea kumbariki Lissu