Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

Polee mzee umekurupuka[emoji23]....mi sijamtaja Lissu hapo,,,nimesema "Nawasalimia watu waliokuwa wakisema upinzani umekufa"....sasa wewe hizo habari za watu kumshangaa Lissu sijui umezitoa wapi
Kwani msingi wa hoja yako ilikua ni nini? Yaani kwanini uwasalimie watu waliokua wanasema upinzani umekufa? Ulikua unalenga nini hasa? Tuanzie hapo kwanza, ili tuone kama nilichokujibu hakiendani na ujumbe uliokua unataka kuwaasilisha hapa.
 
Msingi wa hoja yangu ni kwamba upinzani haujafa ndiomana unaona tumesimamisha wagombea kuanzaia ngazi ya udiwani mpaka uraisi, na wanakubalika na wananchi,,,so hii inaonesha dhahiri kuwa bado tupo ngangari,,
 
Kwani msingi wa hoja yako ilikua ni nini? Yaani kwanini uwasalimie watu waliokua wanasema upinzani umekufa? Ulikua unalenga nini hasa? Tuanzie hapo kwanza, ili tuone kama nilichokujibu hakiendani na ujumbe uliokua unataka kuwaasilisha hapa.
Mzee naona kwenye comment yako umesema kuwa "watu wengi wanaenda kumshangaa Lissu kwasabu alipigwa lisasi" but nazani lile nyomi la Maalim seif kule zenji uliliona,,,,kwani Maalim seif nae alipatwa na matatizo au alipigwa Lisasi????
 
Kwanza naomba nikusahihishe lugha kidogo, inaitwa risasi siyo lisasi. Pili, hapa tunamuongelea Lissu siyo Maalim Seif. Hawa ni wanasiasa tofauti. Huwezi kuufananisha umaarufu na ushawishi wa maalim kwenye siasa za Zanzibar na huruma anayoitafuta Lissu huku Bara.
 
Asante kwa kunisahihisha,,, naomba urejee comment yangu ndugu, nilisema hivi "NAWASALIMIA SANA WALE WOTE WALIOKUWA WAKISEMA UPINZANI UMEKUFA" niliongelea upinzani wote kiujumla na hakuna sehemu niliyo mtaja Lissu.
 
Back
Top Bottom