Kwani msingi wa hoja yako ilikua ni nini? Yaani kwanini uwasalimie watu waliokua wanasema upinzani umekufa? Ulikua unalenga nini hasa? Tuanzie hapo kwanza, ili tuone kama nilichokujibu hakiendani na ujumbe uliokua unataka kuwaasilisha hapa.Polee mzee umekurupuka[emoji23]....mi sijamtaja Lissu hapo,,,nimesema "Nawasalimia watu waliokuwa wakisema upinzani umekufa"....sasa wewe hizo habari za watu kumshangaa Lissu sijui umezitoa wapi