Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

Mungu ni mwema!

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma na awabariki wote,
Mungu mlinde Lissu
 
Boda boda hawawezi mpeleka mtu IKULU wapo kazini tu, wanasubiri mafuta na hela ya ugoro. Siku ya uchaguzi watafanya kazi ya kupeleka wakina mama na wazee kupiga kura na hao watamchagua baba lao DrJPM. Subiri na uone.....!!!
 
Huyu jamaa anaweza tawazwa kuwa raisi kabla ya tarehe 28 october
 
Haki isipopokonywa nawaapia ya kwamba ccm hawana lao katika uchaguzi huu.
 
Hawapo vijana wa kudeki barabara hapo?
JPM for 20
 
Duh! It is great.
 
Yale yale ya mwaka 2015,Niko hapa kahama sioni shamla shamla yoyote,na isitoshe wamewekewa mafuta lita mbili kila bodaboda sasa hata kama in mimi kwanini nisijifanye nampenda Huyo lissu wenu

Ukweli mtaujua October, hamtarudia tena kumsimamisha huyu lissu maana kipigo atakachopata ni cha jini kahaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…