Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

unajiliwaza
 
Nimekumbuka mapokezi ya Mamvi hapo Kahama 2015 nyomi ile ni mbingu na jua na Hawa watu wachache wa leo kwa TAP

Watanzania sio wale.

Kipindi hicho cha Mamvi kulikuwa na siasa za kishenzi kama hizi? Kulikuwa na kundi la watu wasiojulikana? Wakati ule upinzani ulifanya siasa kwa miaka mitano mfululizo, je safari hii hujui kuwa siasa zimeanza kufanyika wiki 3 zilizopita ndani ya hii miaka mitano tu? Au hujui hata kufananisha?
 
Safari wamebadili hawapigi deki barabara ?

Kazi mnayo lakini lile bull dozer likipita huko linavuruga kila kitu, endeleeni kujichosha na kumaliza mate.

Pia muwe makini huyo jamaa yenu bado mgonjwa, anatembea na risasi kiunoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Subiri siku Lipumba, mgombea wa Mbatia akija hapo uone kama itakuwa hivyo. Isitoshe huyo Lisu mliagiza apigwe risasi maana sio mzalendo, mmesema ataruhusu ushoga, mbona kama wananchi hawawaelewi?
 

Huyo bulldozer watu wanalazimishwa kujitokeza, vinginevyo wanafanyiziwa kwenye shughuli zao. Hao wametoka kwa mapenzi yao.
 
Kwa 'uwingi' huo wa bodaboda kweli atashindana lkn hatashinda!
Ukiona bodaboda usiamini, mwaka fulani walipewa elfu 10 na full tank mafuta kumpokea mtia nia.
Hao wanahesabu day work tu. Hela yako. Ni kama madada poa tu
 
Huyo bulldozer watu wanalazimishwa kujitokeza, vinginevyo wanafanyiziwa kwenye shughuli zao. Hao wametoka kwa mapenzi yao.
Sio kweli mie binafsi sijawahi kulazimishwa kwenda barabarani.
Hiyo ilikuwa enzi y mwenge miaka ya 80 ndo tulikutana na kulazimishwa kufunga shughuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana akawa anatembea na risasi ya kupigwa makusudi na waoga wa kukosolewa kama wewe.

Lkn inawezekana hata wewe hapo unatembea na maradhi hatari sana mwilini mwako tena ya kujitakia kwa tamaa zako.
 
Shetani hawezi kuaminiwa kwa lolote asemalo. Bulldozer, shetani mkuu
 
Mkuu we subiri October huyu jamaa atapata kupigo cha mbwa mwizi wa mayai ,nakuhakikishia,akipata asilimia 5 ya kura zote nahama nchi
Siyo unahama nchi sema unarudi kwenu Burundi baada ya kushindwa kutimiza kilicho kuleta Tanzania.
 
Hao bodaboda wakipelekwa sheli tuu,lita mbilimbill umemaliza,halafu wwngi hata card hawana,endelwni kuamini, lowasa alikuwa na wengi zaidi ya hao
 
Hiyo siyo mpya Lowasa mlimdekia hadi barabara!

Kombe linapatika kwenye ballot box, siyo hizo mbwembwe za wana bodaboda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…