Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

Boda boda hawawezi mpeleka mtu IKULU wapo kazini tu, wanasubiri mafuta na hela ya ugoro. Siku ya uchaguzi watafanya kazi ya kupeleka wakina mama na wazee kupiga kura na hao watamchagua baba lao DrJPM. Subiri na uone.....!!!
litaiba tu.
 
Huyo bulldozer watu wanalazimishwa kujitokeza, vinginevyo wanafanyiziwa kwenye shughuli zao. Hao wametoka kwa mapenzi yao.
Nilivyoona siku ile uwanja wa taifa kwenye msiba wa mkapa uwanja umenas wanafunzi na waamlimu na wanajeshi ndio nilijuwa bulldozer kachacha kweli kaachwa wazi
 
Haya maandamano yalishapigwa marufuku
 
Haka ka videp clip kafanye kawe karefu kidogo kanatupa raha.
 
Ingekependeza zaidi kama vyombo vyetu vya habari navyo vikampa coverage walau ya nusu ya Mwenyekiti wa chama chetu, ili tuweze kuona na kupima kiuhalisia nguvu zetu CCM!
Walipie AIRTIME tu kila chombo kitawarusha LIVE. Siyo masuala ya BURE hata hao wa CCM wanalipa, haijarishi wamerusha CHANNEL 10 au STARTIMES! Eleweni hivyo NO FREE LUNCH, hapa ni pesa tu ili wakurushe LIVE!
 
Nimekumbuka mapokezi ya Mamvi hapo Kahama 2015 nyomi ile ni mbingu na jua na Hawa watu wachache wa leo kwa TAP

Watanzania sio wale.
Naikumbuka sana nami nilikuepo. Tanesco walizima umeme mji mzima
 
Walipie AIRTIME tu kila chombo kitawarusha LIVE. Siyo masuala ya BURE hata hao wa CCM wanalipa, haijarishi wamerusha CHANNEL 10 au STARTIMES! Eleweni hivyo NO FREE LUNCH, hapa ni pesa tu ili wakurushe LIVE!
kwa kuwa huelewi unachoongea msubhathi, itoshe kusema tu asante kwa kunijibu
 
TAL kupata watu wengi kila anapopita sio uhakika kuwa watu wanamkubali katika maeneo hayo. Inawezekana kuwa watu hao wanajitokeza kumshangaa mtu aliyeshambuliwa na risasi na kupona. Muhimu jipangeni kwa kampeni. Msifanye propaganda dhaifu. Itakuwa mmewasahau watanzania wapenda matukio. Lowasa alijaza watu hapohapo Kahama. Kumbe wakitaka kumuona anafananaje. Walipotoka hapo wakasema kumbe Lowasa mwenyewe mzee hata kutembea hawezi!! Wapiga kura hawatofautiani sana na wajumbe. Watajaa kwenye kampeni zako na kukupokea ila moyoni wana mtu wao. Be careful guys...
 
Go go Lissu. Tunakukubali sana Rais wetu mtarajiwa.
 
Tarehe 06/02/2016 alisikika mtu mmoja akisema "Itakapofika 2020 kutakuwa hakuna upinzani Tanzania".
 
Kwahiyo Chato ni Kahama siku hizi?
 
Tatizo lako siku mbili hizi unakuwa busy sana hadi unasahau umuhimu wa kutupia picha angalau
Mkuu atakuwa katingwa na majukumu ..lkn kzr waliotutabiria kifo naona walikuwa wanajitabiria wao
 
Tatizo la upinzani huwa hawajifunzi kabisa, Kahama lowasa alijaza, slaa alijaza lakini wabunge wameendelea kutoka ccm tuuuu na rais hujizolea kura apendavyo, siasa ni sayansi wajameni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…