Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

Boda boda hawawezi mpeleka mtu IKULU wapo kazini tu, wanasubiri mafuta na hela ya ugoro. Siku ya uchaguzi watafanya kazi ya kupeleka wakina mama na wazee kupiga kura na hao watamchagua baba lao DrJPM. Subiri na uone.....!!!
Unadhani hawakumbuki matusi yake? Mara wanapanuliwa, Mara hakuleta njaa, au tetemeko, Mara mashangazi atawatengua nk? Sasa umefika wakati wa hao wazee na wanawake naye kumtengua au kumpanua!
Kudadeki, kazi ndio imeanza
 
Yale yale ya mwaka 2015,Niko hapa kahama sioni shamla shamla yoyote,na isitoshe wamewekewa mafuta lita mbili kila bodaboda sasa hata kama in mimi kwanini nisijifanye nampenda Huyo lissu wenu

Ukweli mtaujua October, hamtarudia tena kumsimamisha huyu lissu maana kipigo atakachopata ni cha jini kahaba
Wewe utakuwa kweli jini kila mahali upo. Leo tena upo Kahama?
Unahangaika sana utadhani Jiwe alikuambia nikipita awamu ya pili nitakuoa!
 
Kipindi hicho cha Mamvi kulikuwa na siasa za kishenzi kama hizi? Kulikuwa na kundi la watu wasiojulikana? Wakati ule upinzani ulifanya siasa kwa miaka mitano mfululizo, je safari hii hujui kuwa siasa zimeanza kufanyika wiki 3 zilizopita ndani ya hii miaka mitano tu? Au hujui hata kufananisha?
Hajui kutofautisha huyo kikaragosi. Yeye kwake mazingira ya 2015 na Leo anaona sawa tuu kwa vile shemeji yake bado anamtunza bila kubadilika.
 
Sasa kwa kweli m/kiti wa ccm atapata mshtuko wa moyo msipokuwa waangalifu manake hat nyumbani kwake Lissu anapeta?!
Ni Kama vile shughuli zimesimama katika mji wa Kibiashara wa Kahama.

Mamia kwa Mamia ya wakazi wa mji wa Kahama wako majiani wakisubiri ujio wa kipenzi chao Tundu Antipass Lissu anayetarajia Kuwasili hapa wakati wowote kuanzia sasa

Kuna idadi kubwa ya vijana wa bodaboda wameondoka kwenda kumlaki shujaa huyo, huku akina mama wakiandaa Kanga kutandika chini ili apite juu yake.Maduka mengi yamefungwa na wafanyibiashara wamejipanga kandokando mwa barabara
View attachment 1534118
Duh! Sawa!
Dawa ni dawa 75%.
Hiyo ndio maana ya game changer.
Eti CHADEMA imekufa, mfyooooooooooooooooooooooooooo, wafe wao na Jiw wao!
Ingekependeza zaidi kama vyombo vyetu vya habari navyo vikampa coverage walau ya nusu ya Mwenyekiti wa chama chetu, ili tuweze kuona na kupima kiuhalisia nguvu zetu CCM!
Lissu The Greatest
Mungu endelea kumbariki Lissu
Lah, kweli Lissu ni game changer!!
 
Boda boda hawawezi mpeleka mtu IKULU wapo kazini tu, wanasubiri mafuta na hela ya ugoro. Siku ya uchaguzi watafanya kazi ya kupeleka wakina mama na wazee kupiga kura na hao watamchagua baba lao DrJPM. Subiri na uone.....!!!
Kwa hiyo ikulu mtu anapelekwa na Nani mkuu ?je ni Police ,TISS na tume siyo mkuu?
 
Ni Kama vile shughuli zimesimama katika mji wa Kibiashara wa Kahama.

Mamia kwa Mamia ya wakazi wa mji wa Kahama wako majiani wakisubiri ujio wa kipenzi chao Tundu Antipass Lissu anayetarajia Kuwasili hapa wakati wowote kuanzia sasa

Kuna idadi kubwa ya vijana wa bodaboda wameondoka kwenda kumlaki shujaa huyo, huku akina mama wakiandaa Kanga kutandika chini ili apite juu yake.Maduka mengi yamefungwa na wafanyibiashara wamejipanga kandokando mwa barabara
View attachment 1534118

Tuwakumbushe tu wasiojua...

Kahama ni USUKUMANI kwa John Pombe Magufuli....

Hii ishara kuwa, hata nduguze hawamtaki, wanataka aondoke...
 
Ndo akina nani hao? Wakulima ,wafanyakazi au mawaziri?
Watu wenye uelewa, hawachagui kwa kumhurumia mtu. IKULU siyo sehemu ya hisani ni sehemu ya kutumikia watanzania, lazima mtu anadi atakachofanya akichaguliwa na awe na uwezo wa kufanya hayo, siyo kunadi mipasho!!
 
Sasa Magu pale ikulu anamtumikia Nani
1.Soko la korosho,mbaazi,kahawa,tumbaku na ufuta ameua
2.Ameua sector binafsi na serikali imeshindwa kutoa ajira watu wako kitaa wanaendesha bajaji na bodaboda Sasa mnawakebehi
3.Ameharibu mahusiano na mataifa na mashirika ya kimataifa ambao ni wadau wa maendeleo,watanzania wsmepoteza ajira na biashara
4.Ametapeli wafanya biashara wa maduka ya fedha za kigeni,
5.Amebomoa makazi ya watanzania na kuzurumu haki zao
6 Alizurumu rambirambi za wahanga wa tetemeko kule Bukoba na shule kule Arusha
7 watanzania wote waliopata majanga Magufuli aliishia kuwatukana si wale wa tetemeko Bukoba,mafuriko kule mtwara na Lindi etc
Je Magufuli ikulu anamtumikia Nani?
 
Kwa 'uwingi' huo wa bodaboda kweli atashindana lkn hatashinda!
Bodaboda wanalipwa hawana shida hata ukitaka mji mzima

Bodaboda kuleni pesa za wanasiasa ruksa kila apitapo chukueni chenu kwa team Lisu Kama mlivyochukua za Lowasa

Ni Wakati wa bodaboda kuvuna pesa za akina Lisu .
 
CCM Yao
20200810_132853.jpg
 
Magufuli akipita mahali Watu wanajaa barabarani hahitaji mbwembwe za kukodi bodaboda !! Wanajipanga Bure
Lisu anatumia mbinu ya Lowasa iliyoshindwa ya kumwaga pesa bodaboda !!! Walau naye a steam out frustration zake kuwa ana escort ya bodaboda za kukodi!!!!!

Acha porojo ingia instagram page ya John Heche uone nyomi lilojitokeza kumdhamini lissu Shinyanga
 
Back
Top Bottom