Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Unadhani hawakumbuki matusi yake? Mara wanapanuliwa, Mara hakuleta njaa, au tetemeko, Mara mashangazi atawatengua nk? Sasa umefika wakati wa hao wazee na wanawake naye kumtengua au kumpanua!Boda boda hawawezi mpeleka mtu IKULU wapo kazini tu, wanasubiri mafuta na hela ya ugoro. Siku ya uchaguzi watafanya kazi ya kupeleka wakina mama na wazee kupiga kura na hao watamchagua baba lao DrJPM. Subiri na uone.....!!!
Kudadeki, kazi ndio imeanza